Uwezo wa Freeman Mbowe unafikirisha sana, karibia wapinzani wote Afrika wanaingia Ikulu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.

Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.

Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.

Natanguliza shukrani.
 
Mwendazake ni Shetani
 
Yaani hapo utakuwa umetoa chizi na kuingiza kichaa yaani lema ndiyo awe mwenyekiti chadema ? Halafu aipelwke ikulu? Nitahama nchi Bora niende burundi
 
Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.
Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.
Natanguliza shukrani.
UWEZO WA MBOWE NI UZUZU
 
NI FEDHEHA KUBWA kwa chama Lilongwe Barani Africa kuendelea kutegemea polisi ili kushinda uchaguzi hata wa kitongoji
 
Mbowe ni Smart sana. Hana Elimu kubwa but ni mature. Sema Mazingira ya Siasa za Kibabe na Ununuzi wa Wanachama wake kwa Offer za pesa au cheo cha bure Serikalini, akina Covid-19, hujuma za Tume, Msajili, Polisi, Mahakama, ndio yanamkwamisha.
 
Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.

Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.

Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.

Natanguliza shukrani.
Mkuu

Ikulu upinzani ungeshaingia zamani Sana tangu enzi za Mrema!!

Mamlaka za NCHI yetu zimeamua KWA maksudi kabisa upinzani usiende ikulu KABISA!!

Huo ni Mpango KAZI wa NCHI kwamba CCM ndio itawale miaka yote Hiyo Hadi watakapofikiri WENYEWE vinginevyo!!

Kitabu kipya kikipatikana ndio utatengenezwa upinzani HALISI wa kuingia Ikulu utakuwa version mpya ya CCM!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Ingekuwa box la kura ndio linaanza nani awe rais hapa Tanzania, basi CCM leo hii ingekuwa kaburi moja na KANU ya Kenya.
Labda Ni muda sahihi kumjaribu mh Lema
 
Mkuu

Ikulu upinzani ungeshaingia zamani Sana tangu enzi za Mrema!!

Mamlaka za NCHI yetu zimeamua KWA maksudi kabisa upinzani usiende ikulu KABISA!!

Huo ni Mpango KAZI wa NCHI kwamba CCM ndio itawale miaka yote Hiyo Hadi watakapofikiri WENYEWE vinginevyo!!

Kitabu kipya kikipatikana ndio utatengenezwa upinzani HALISI wa kuingia Ikulu utakuwa version mpya ya CCM!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!

Tulishapita hiyo hatua ya Rasimu , tupo hatua ya Katiba pendekezwa. Kilichosalia ni kupigiwa kura ya NDIO (kuikubali ) au HAPANA (kuikataa) ili tuanze zero ground.
 
Hakuna dhambi kubwa kama kutokujiamini.mbowe kafanya kazi kubwa sana katika siasa za nchi hii hakuna asiye kuwa.je wewe mwenzetu umefanya Nini ilikuleta angalau mageuzi hapa nchini.
 
Back
Top Bottom