CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kwa upumbavu unaofanywa na CCM kutumia mitutu ya bunduki ya Polisi kuiba kura na kuvuruga uchaguzi ulitaka ahamasishe watu waingie msituni damu imwagike? Wewe mpumbavu kabisaMbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.
Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.
Natanguliza shukrani.