MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mwendazake ni ShetaniMbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.
Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.
Natanguliza shukrani.
Yaani hapo utakuwa umetoa chizi na kuingiza kichaa yaani lema ndiyo awe mwenyekiti chadema ? Halafu aipelwke ikulu? Nitahama nchi Bora niende burundiMbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.
Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.
Natanguliza shukrani.
Kabla ya jiwe mliwahi kushinda uchaguzi upi?Jiwe aliua demokrasia, wapinzani wali teswa na kufanyiwa udhalimu, hakukua na fair playing ground. Nadhani yule Dr. Mahere anaona aibu jinsi IEBC inavoendesha shughuli zake
UWEZO WA MBOWE NI UZUZUMbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.
Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.
Natanguliza shukrani.
Nami swali langu ni kufahamishwa upinzani wa kenya ni upi?
NI FEDHEHA KUBWA kwa chama Lilongwe Barani Africa kuendelea kutegemea polisi ili kushinda uchaguzi hata wa kitongojiMbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.
Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.
Natanguliza shukrani.
MkuuMbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.
Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.
Natanguliza shukrani.
Yaani hapo utakuwa umetoa chizi na kuingiza kichaa yaani lema ndiyo awe mwenyekiti chadema ? Halafu aipelwke ikulu? Nitahama nchi Bora niende burundi
Kabla ya jiwe mliwahi kushinda uchaguzi upi?
Labda Ni muda sahihi kumjaribu mh LemaIngekuwa box la kura ndio linaanza nani awe rais hapa Tanzania, basi CCM leo hii ingekuwa kaburi moja na KANU ya Kenya.
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!Mkuu
Ikulu upinzani ungeshaingia zamani Sana tangu enzi za Mrema!!
Mamlaka za NCHI yetu zimeamua KWA maksudi kabisa upinzani usiende ikulu KABISA!!
Huo ni Mpango KAZI wa NCHI kwamba CCM ndio itawale miaka yote Hiyo Hadi watakapofikiri WENYEWE vinginevyo!!
Kitabu kipya kikipatikana ndio utatengenezwa upinzani HALISI wa kuingia Ikulu utakuwa version mpya ya CCM!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Kabla ya jiwe mliwahi kushinda uraisi?Jiwe aliua demokrasia, wapinzani wali teswa na kufanyiwa udhalimu, hakukua na fair playing ground. Nadhani yule Dr. Mahere anaona aibu jinsi IEBC inavoendesha shughuli zake