CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kwa upumbavu unaofanywa na CCM kutumia mitutu ya bunduki ya Polisi kuiba kura na kuvuruga uchaguzi ulitaka ahamasishe watu waingie msituni damu imwagike? Wewe mpumbavu kabisaMbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.
Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.
Natanguliza shukrani.
Nikweli lakini wapinzani Tanzania hakuna kunawachumia tumbi tu kina mboweIngekuwa box la kura ndio linaanza nani awe rais hapa Tanzania, basi CCM leo hii ingekuwa kaburi moja na KANU ya Kenya.
Katiba pendekezwa sio katiba itakayopitishwa!ni Katiba yenye matakwa ya chama Tawala sio watanzania!itawekwa kandi HALAFU tuijadili Rasimu upya tuipate katiba halisi ya watanzania!!"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Tulishapita hiyo hatua ya Rasimu , tupo hatua ya Katiba pendekezwa. Kilichosalia ni kupigiwa kura ya NDIO (kuikubali ) au HAPANA (kuikataa) ili tuanze zero ground.
Huyo kilaza aliyeleta post hii hakuwahi kulijua hili au anaishi nchi gani? Kuna mijitu inaboa sana nchi hii.Jiwe aliua demokrasia, wapinzani wali teswa na kufanyiwa udhalimu, hakukua na fair playing ground. Nadhani yule Dr. Mahere anaona aibu jinsi IEBC inavoendesha shughuli zake
Mkuu hata biblia inasema; ufalme wa Mungu unatekwa na wenye NGUVU.Jiwe aliua demokrasia, wapinzani wali teswa na kufanyiwa udhalimu, hakukua na fair playing ground. Nadhani yule Dr. Mahere anaona aibu jinsi IEBC inavoendesha shughuli zake
Mbowe ni NYERERE wa zama hizi- Tumia AKILI said.Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.
Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.
Natanguliza shukrani.
Unajua MBOWE anaemtumikia ni nani!!?Mkuu hata biblia inasema; ufalme wa Mungu unatekwa na wenye NGUVU.
Jiwe alikuwa ni kipimo cha nguvu ya upinzani.
Alibaki mwenye nguvu mmoja aliyekuwa tayari kuutoa hata uhai wake naye ni LISSU.
Mbowe nimekosa imani naye hadi sasa amekompromaizi na ccm.
Je angepitia uvuli wa mauti kama Lissu si angeacha siasa kabisa?
Nikweli lakini wapinzani Tanzania hakuna kunawachumia tumbi tu kina mbowe
Lilongwe mji mkuu Malawi, hariri Post yako.NI FEDHEHA KUBWA kwa chama Lilongwe Barani Africa kuendelea kutegemea polisi ili kushinda uchaguzi hata wa kitongoji
Yes 1995, 2010, 2015!!Kabla ya jiwe mliwahi kushinda uraisi?
Nimekubali, naomba isomeke "kikongwe"Lilongwe mji mkuu Malawi, hariri Post yako.
Asante.Nimekubali, naomba isomeke "kikongwe"
Uganda , Rwanda, Burundi kote huko wapinzani wapo ikulu si ndioMbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.
Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.
Natanguliza shukrani.
Una utindio wa ubongoMbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake.
Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu.
Mpinzani akishinda uchaguzi huu Kenya nadhani itakuwa ni wakati muafaka wa Mbowe kumpa uenyekiti ndugu Godless Lema naye ajaribu kutupeleka Ikulu.
Natanguliza shukrani.
Si burundi tu, jichimbie kaburi ujizike. NyanbafYaani hapo utakuwa umetoa chizi na kuingiza kichaa yaani lema ndiyo awe mwenyekiti chadema ? Halafu aipelwke ikulu? Nitahama nchi Bora niende burundi
NyooooTundu lissu is a presidential material, tatizo Yuko kwenye najisi ambayo ni chadema!