Uwezo wa Freeman Mbowe unafikirisha sana, karibia wapinzani wote Afrika wanaingia Ikulu

Mbowe apewe heshima yake wala asibezwe na mtu alieshiba makande akahisi hakuna kesho
 
Walioingia ikulu walivumilia na mbowe mvulie tu, ataingia ikulu wala usiwaze
 
Mleta hoja, hivi unajihesabia umeandika kitu kweli! hii nchi sihami kukaa na watu vishobo 😀
 
Weye mccm unataka Mbowe akupeleke ikulu ipi?Na kwa mazingira gani hapa Tanzania?
 
Unataka useme zile CHOPA zilizokua zinafika mpaka mbinga kijijini kwenu ziliishiwa mafuta hadileo

Badala muuseme mfumo mmekazana na mbowe mbona raila huko Kenya anaishia handshake
 
Kwa hiyo Mbowe ni kama Musa wa Upinzani?
Ameimarisha upinzani lakini hataingia kamwe Kanaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…