Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Hukusomaga kabisaMfano bus la yutong au Volvo/Scania makopolo ukiliendesha speed 100 haliwezi kuendana na speed sawa na ist na hata magari mengine😁😁 utapitwa kama umesimama
Wajuvi wenye uzoefu wa magari watakuja kutuelimisha, mimi sio mjuvi mzee baba
Ina cc ngap? Ina hp ngapiView attachment 2544780
Hiyo ni gti tu inasoma 300 engine cc ndogo lakini mwendo wa kufa mtu
Duuh kivipi nikae mbali na 1zzNi Toyota..
Reliable..
Kaa mbali na 1ZZ engine..
Tafuta 2ZZ engine.. Hii ni combination ya Toyota na Yahama.. Combination yao huwa inatoa engines zenye mlio tamu kwenye masikio..
Ukumbuke kuiendesha umeshusha vioo..
Hii kauli inajicontradict yenyewe.Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
RPM isikuvuruge mkuu.Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.
Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.
Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.
Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze
View attachment 2521539
Gari kuwa na mwendo ni Gearbox mara nyingi.Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.
Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.
Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.
Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze
View attachment 2521539
Wewe umeelewa hiyo statement?ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
SPEED SAWA? HALAFU ANAKUPITA? hahahahs
Me nmeshindwa kuelewa ulichoandika mkuu...Kuna kitu mtoa mada mmeshindwa kumuelewa japo mmkembilia ujuwaji msiojua.
Anaposema RPM na KMH basi kiwango kikubwa kinachoangaliwa kwenye kusuma KMH ni RPM ndio maana dash ya speed zote zinaweza kuwa sawa ila ikakupita.
Kuna siku ilishwai shindanishwa tesla na bugat.
Kilichokuwa akiangaliwi speed je RPM zinapishana vipi.
Ila ukiwa mjinga tanzania ndio ili, watu kubisha wasichokijua.
Mrudi mashuleni mda mwengine ndo nyie hata kufanya utafiti mnakuja na kende zenu kufikiria.
Jamaa yupo sawa labfa ufikishaji wazoView attachment 2522972
Akaangalie tena drivetrain ya gari za tesla. motor ipo connected direct na tyres.Tesla na RPM wapi na wapi?!
Kilo moja ya mawe na kilo moja ya manyoya ipi nzito?Kuna kitu kinaita Horse power mnaweza kuwa sawa Speed bt mwenzio ana horse power kubwa automatical atakupita tuh.
E.G. Ist atembee 80km/r then Altezza atembee speed 80km/r na wote waanze pamoja eneo moja. Unafkir nani atakae mpita mwenzie[emoji1][emoji2][emoji3]
speed ni constant.Mfano bus la yutong au Volvo/Scania makopolo ukiliendesha speed 100 haliwezi kuendana na speed sawa na ist na hata magari mengine😁😁 utapitwa kama umesimama
Wajuvi wenye uzoefu wa magari watakuja kutuelimisha, mimi sio mjuvi mzee baba
1ZZ-FE ni for economy, na 2ZZ ni for performance. Kama unataka fuel economy, chukua ya 1ZZ, ukitaka power na mbio, basi chukua 2ZZ.Duuh kivipi nikae mbali na 1zz
Kuna tofauti gani kati ya Engine ya 1zz na 2zz? Ahsante
Hicho kinakula gari.nyingi.sana ambazo unaweza kuwa unaamini kwamba zina mbio.Niliona video moja juzi benz E class sijui ile inaliwa na hichi kidude nilishangaa jamaa akaononesha ubaoni kinasoma 257kmph[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ni nzuri sana zina kodi ndogo...Nawaheshimu sana hao Golf R series gari ndogo ila nzito utadhani kimefungwa mawe kwenye chassis na kina balance balaa na pia kinaweza kuwa na kodi ndogo ngoja nikifatilie maana TRA wao wanaamini katika magari yenye majina ndio wanatupia Kodi kubwa...
Mjerumani anatengeneza gati chassis nzito.... Halafu zinakuwa chini. Balance lazima iwepo ya kutosha.Haka kagari kwa ambao hawakajui watakadharau ila nawashauri watu hili ni lichuma la kwenda mbio zipo na balance ikiwa barabarani.
Unywaji wa mafuta kawaida sana.Vipi vipuri, mafundi na unywaji wa mafuta?
Sijui kwa mjapani ila kwa mzungu gari yenye 320kph inauwezo wa kufika maximum ya 305kph kwasababu ya rev limiter.Ina cc ngap? Ina hp ngapi
Nikujuze tu hako ka golf hakawezi fika 300kph watu wako kazini wanacheza na akili zenu
Ni wazi ukikuta kinglion piki piki yenye cc 150 Ina kibao Cha speed 200 na sinoray cc 150 kibao Cha speed 140 unaweza amini kinglion inakimbia zaidi na upo tayari ku pay more ukiamin pikipiki yenye hp10 inaweza fika 200kph Hulu XL250 yenye hp 25 ilishindwa fika in real life
Achana na readings za speedo meter binafsi naangalia gari lilivo na hp zake eg gari Kama crown, golf, na zinginezo likiwa na hp300 Ni nyingi Sana kibongo unaweza gawa dozi utakavo
Kuhusu speedo kusoma namba nyingi Ni swala la marketing tu
Ngoja nikupe mfano
Unakuta Audi wametengeneza A4 yenye body type nyingi kwanzia sedan mpaka station wagon I think
Pia gari moja linakuja na engine option nyingi kwanzia ndogo kabisa yenye 1.9L diesel Hadi 3L plus where hp inaanzia 80hp Hadi 256hp bila kukosea Sasa huwa some company wanatengeneza speedo meter wenyewe wengine wanatoa oda kwa makampuni mengine, gari lenye 256hp linakuja labda na speedo inayosoma Hadi 260kph na speedmeter hio hio inatumika kwenye gari lingne model moja engine ndogo 80hp ,, hivo watu wanashindwa elewa huwezi tengenezea kila gari speedometer Yake hapo ndo unakuta hata mtu hio engine ndogo anajipa moyo kwamba anaweza fika hio speed unaangalia specs za engine yake unabaki unacheka
Unajua vitu ila umekosa kuona vitu vyenyewe halisi hizo gari zinakimbia kweli sio kwamba wanadanganya...Ina cc ngap? Ina hp ngapi

Mfano bus la yutong au Volvo/Scania makopolo ukiliendesha speed 100 haliwezi kuendana na speed sawa na ist na hata magari mengine😁😁 utapitwa kama umesimama
Wajuvi wenye uzoefu wa magari watakuja kutuelimisha, mimi sio mjuvi mzee baba
Shida ni jinsi macho yetu yalivyo umbwa ndio yanatuchanganya. Kadri kitu kinavyo zidi kuwa kikubwa ndivyo speed yake ya mjongeo inavyozidi kupungua kwenye macho, mfano ukizipanga baiskeli, Passo na bus sehemu moja na zote zitembee kwa speed ya 20km/h machoni unaweza kuona kama vile baiskeli ipo speed kushinda Passo na bus kumbe hamna lolotekwahiyo unataka kusema speed 100 ya yutong ni kubwa kuliko speed 100 ya ist/passo? nimeelewa sawa mkuu?
Ndo hawa wanaosema 1kg ya mawe ni nzito kuliko 1kg ya manyoya [emoji1]Hii kauli inajicontradict yenyewe.
Mko speed sawa halafu jamaa anakupita. Then hamko speed sawa.