Namimi sijakusudia kuwa wewe umesema uongo, bali nimemaanisha kama uliwahi kuiangalia hiyo Movie ya SISU na kuiona kama ni uongo basi ulitakiwa ukubaliane na unachokiona kwasababu sio kila kitu ni uongoMie sijasema uongo boss.. nimekuuliza tu ili nijue mzee.. SISU ndio nini nikaangalie ?
Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers
Hao ni Makomandoo
Na value ya Komandoo nadhani unaijua
Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200
Sasa hapo ni swala la hesabu
Mi sijasema akipigwa risasi hafiAcheni kulishwa matangopori kwamba akipigwa risasi hafi[emoji23][emoji23][emoji23]
Uchawa bhana, et komandoo mmoja sawa na wanajeshi 200. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers
Hao ni Makomandoo
Na value ya Komandoo nadhani unaijua
Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200
Sasa hapo ni swala la hesabu
Mkuu hii ni statistic ya lini?The 10 Countries With The Most Battle Tanks
- Russia - 12,566
- North Korea - 6,645
- United States - 5,500
- China - 4,950
- Egypt - 4,664
- India - 4,614
- Iran - 4,071
- Pakistan - 3,742
- Syria - 2,616
- South Korea - 2,331
Acha vitisho vya kijinga, ile miaka ya kusema jeshi ni imara bila data ilishapita. Sana sana mnachoweza kufanya ni kuumiza raia tena ni kwakuwa hawana silaha. Lakini ikitokea kikundi chenye silaha au vita, inaweza kuwa aibu ya karne.Jadilini tu wakuu.... Si mnapenda jadilini..
๐
Kwa ruhusa ya kiti, nakuruhusu utumie hadi list ya top 70Hapa tunaongelea idadi ya vifaa hizi hapa nchi kumi zenye vifaa vingi vya kijeshi duniani mwaka 2018 (Bunduki nyingi)
View attachment 2734266
Ubora wao ni kuvunja matofali siku ya 9-12View attachment 2734303
Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika.
Nitajikita zaidi katika kuongelea mambo:-
1. Bajeti ya Jeshi
2. Idadi ya wanajeshi
3. Vifaa vya kijeshi
4. Operation zilizofanyika
5. Uwezo katika electronic warfare
6. Umilki wa silaha vya nuclear
7. Uwezo wa Jeshi la anga
8. Uwezo wa Jeshi la Majini
9. Mitambo ya kiulinzi
10. Idadi ya Majenerali
Upande wa Bajeti
Bajeti kuu ya serikali ya Tanzania ni USD 18.4 billion. Yaani ndani ya hiyo bajeti kuna bajeti ya jeshi, wizara zingine nk.
Zifuatazo ni bajeti ya majeshi tu katika nchi kumi duniani ya mwaka 2020
- The United States โ $778 billion
- China โ $252 billion
- India โ $72.9 billion
- Russia โ $61.7 billion
- United Kingdom โ $59.2 billion
- Saudi Arabia โ $57.5 billion
- Germany โ $52.8 billion
- France โ $52.7 billion
- Japan โ $49.1 billion
- South Korea โ $45.7 billion
Tanzania haimo kwenye top 10 kwenye upande wa Budget..... Tunaendelea
Wameshindwa tu hapo CongoAcha vitisho vya kijinga, ile miaka ya kusema jeshi ni imara bila data ilishapita. Sana sana mnachoweza kufanya ni kuumiza raia tena ni kwakuwa hawana silaha. Lakini ikitokea kikundi chenye silaha au vita, inaweza kuwa aibu ya karne.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] DahUbora wa kupiga wanao vaa nguo zinazofanana na wao.
Hapa tunaongelea idadi ya vifaa hizi hapa nchi kumi zenye vifaa vingi vya kijeshi duniani mwaka 2018 (Bunduki nyingi)
View attachment 2734266
Uchawa bhana, et komandoo mmoja sawa na wanajeshi 200. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]