Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Role ya kwana ya Komando ni nguvu
Akili ni kitu cha ziada tu
Ebu fikiria tu mwenyewe akili ya kazi gani?
Kwamba awe na uwezo wa ku calculate speed ya ngumi kwa vipimo vya nyuzi ili ajue perfect time ya kuikwepa?
Yani sijaelewa chemistry inayounganisha mambo mawili kati ya uwezo wa kufanya hivyo vitu na kuwa na akiliKaka modern special forces guys wanatakiwa wawe na combination of all. Smart ,extreme endurance, weapons expert,explosive handling,bomb disposal,recon
Doctrine za hapa kwetu sizifaham kiundani, but modern sf lazima aweze ku accumulate hizo knowledge na awe practicaly cable kuzitumia on the field.
Unatuma mtu ambae nguvu ndio only advantage? Hato survive for long
Neno "komando" (pia linaweza kuandikwa "komandoo" au "commando") linaweza kumaanisha mtu au kikundi cha watu waliofunzwa kwa ustadi wa hali ya juu katika mbinu za kijeshi, kijasusi, au operesheni maalum. Hapa kuna maelezo zaidi:Yani sijaelewa chemistry inayounganisha mambo mawili kati ya uwezo wa kufanya hivyo vitu na kuwa na akili
Labda kwasababu hatukukubaliana tangu awali kipimo cha akili
Mtu kuwa expert wa explosive handling sijajua ni kiasi gani inamuweka karibu na ukomando
Kiukweli hivyo vitu ulivyoviororeshwa tukianza kuvichunguza tutaona vinafanywa na watu wakawaida tu, je nao tuwaite makomando?
| S No. | Name |
| 1. | Lockheed Martin F-35 Lightning II |
| 2. | Chengdu J-20 Mighty Dragon |
| 3. | Lockheed Martin F-22 Raptor |
| 4. | KAI KF-21 Boramae |
| 5. | Sukhoi Su-57 |
| 6. | Shenyang FC-31 Gyrfalcon |
| 7. | Boeing F-15EX Eagle II |
| 8. | Eurofighter Typhoon |
| 9. | Dassault Rafale |
| 10. | Sukhoi Su-35S |
Lengo lako ni nini ?Kwa ruhusa ya kiti, nakuruhusu utumie hadi list ya top 70
Unapoteza muda kujadili hoja ya yule chawa mshamba wa jeshi?View attachment 2734303
Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika.
Nitajikita zaidi katika kuongelea mambo:-
1. Bajeti ya Jeshi
2. Idadi ya wanajeshi
3. Vifaa vya kijeshi
4. Operation zilizofanyika
5. Uwezo katika electronic warfare
6. Umilki wa silaha vya nuclear
7. Uwezo wa Jeshi la anga
8. Uwezo wa Jeshi la Majini
9. Mitambo ya kiulinzi
10. Idadi ya Majenerali
Upande wa Bajeti
Bajeti kuu ya serikali ya Tanzania ni USD 18.4 billion. Yaani ndani ya hiyo bajeti kuna bajeti ya jeshi, wizara zingine nk.
Zifuatazo ni bajeti ya majeshi tu katika nchi kumi duniani ya mwaka 2020
- The United States — $778 billion
- China — $252 billion
- India — $72.9 billion
- Russia — $61.7 billion
- United Kingdom — $59.2 billion
- Saudi Arabia — $57.5 billion
- Germany — $52.8 billion
- France — $52.7 billion
- Japan — $49.1 billion
- South Korea — $45.7 billion
Tanzania haimo kwenye top 10 kwenye upande wa Budget..... Tunaendelea
Mkuu unaamini Rambo anaweza kupiga jeshi zima?Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers
Hao ni Makomandoo
Na value ya Komandoo nadhani unaijua
Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200
Sasa hapo ni swala la hesabu
Saizi amezeekaMkuu unaamini Rambo anaweza kupiga jeshi zima?
Kipindi cha vita ni kipindi ambacho viwanda vya silaha havilaliMkuu hii ni statistic ya lini?
Ni baada ya vita au kabla?
Maana Russia kupitia vita ya Ukraine imeelezwa kuwa kapoteza tanks 4,000
View attachment 2734304
Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers
Hao ni Makomandoo
Na value ya Komandoo nadhani unaijua
Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200
Sasa hapo ni swala la hesabu
Yani sijaelewa chemistry inayounganisha mambo mawili kati ya uwezo wa kufanya hivyo vitu na kuwa na akili
Labda kwasababu hatukukubaliana tangu awali kipimo cha akili
Mtu kuwa expert wa explosive handling sijajua ni kiasi gani inamuweka karibu na ukomando
Kiukweli hivyo vitu ulivyoviororeshwa tukianza kuvichunguza tutaona vinafanywa na watu wakawaida tu, je nao tuwaite makomando?
Mkuu kuwa comando ni zaidi ya kile unachokiona cha kupasuliana matofali kifuani. Wanachukuliwa wengi ambao ni stable mentally. Kwamba anaweza kupelekwa Malawi baada ya siku 5 akawa anaongea kimalawi kama wa Malawi wengine. Physical healthy ni kitu tulichokariri wengi ila mpaka kuwa komando asee ina mambo mengi. So tusiwachukulie poaRole ya kwana ya Komando ni nguvu
Akili ni kitu cha ziada tu
Ebu fikiria tu mwenyewe akili ya kazi gani?
Kwamba awe na uwezo wa ku calculate speed ya ngumi kwa vipimo vya nyuzi ili ajue perfect time ya kuikwepa?
Umeshawahi kupita komando kozi?Mkuu kuwa comando ni zaidi ya kile unachokiona cha kupasuliana matofali kifuani. Wanachukuliwa wengi ambao ni stable mentally. Kwamba anaweza kupelekwa Malawi baada ya siku 5 akawa anaongea kimalawi kama wa Malawi wengine. Physical healthy ni kitu tulichokariri wengi ila mpaka kuwa komando asee ina mambo mengi. So tusiwachukulie poa
Bila kupotezaView attachment 2734303