Hajui maana ya kombora huyu.Anafikiri kombora ni mshale unaweza kueka ngao na ukazuiaKambi zote kubwa za marekani wameweka mifumo ya kujilinda kumbuka wanawanajeshi 60,000 mashariki ya Kati Iraq wapo 6,000 .ambayo inatia shaka uwezo.kumbuka Saudi Arabia wanatumia mifumo ya kisasa ya USA lakini ilishindwa kuzuia shanbulio kwenye kiwanda kikumbwa kabisa duniani Cha kusafisha mafuta la wa houthi wa yemeni ambao washirika wa irani.drone za kienyeji zilipenya
Sent using Jamii Forums mobile app