steve_MOMO
Member
- Jun 21, 2019
- 44
- 11
Achen kujidanganya mmarekan haingilik lamda apigwe kwenyekambitu nahapo kwakuvizia ila us yenyewe kabisa nivigumu angangumu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekuelewa ndugu, endelea kutumia kichwa kama mfuniko wa mwili kila la kheri
Kasema wapo upande wa US na watamsapoti US.Kasemaje kwani
Mkuu kila kambi ina umuhimu wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kambi inaonekana hakuna wanajeahi hata mmoja kuna mizigo tuuh [emoji2][emoji23][emoji16][emoji1][emoji14][emoji12][emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hiyo,ogopa aliyezoea vitaHivi unafikiri maadui zake hawajui kua ameliwekea ulinzi anga lake!
anajua ndo mana walishaumiza akili kutengeneza makombora ya kuzama huko.Kiduku alimambia huyo Mmarekani ana kombora akilituma linatua hapo New york.Pia tambua kuna kitu inaitwa nyuklia.Hii hakuna wakuizuia na ndo man anatapatapa watu wasitengeneze silaha za nyuklia huku ye akiwa nazo.Uzuri hao watubado wakaendelea kutengeneza bila kumuhofu chochote maana wanamjua anavyopenda uonevu.
By the way huyo USA hakuna vita kawai imaliza zaid ya kuacha vikundi vya anavyoita vya kigaidi vikiendelea kumuulia raia wake kila kona.Usalama wa raia wa USA dunia nzim umekua mdogo sana na ndo mana hawataki vita wakijua fika vita haiishagi kamwe.
Ukinipiga basi kizazi changu kitalipiza.Kwa mtindo huu usalama wa Mmarekawa utaendelea kua mashakani popote alipo.
Hivi inawezekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote.
Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
Kwa taarifa tu !!!Umuhimu wa kambi iliyopigwa Iraq ya US ni tofauti na Kambi kama Aviano Airbase Italy-zote za US. kila kambi ina tofauti kulingana na kuwepo kwake
Marekani inaonekana hana defence nzuri kwenye kambi zake... Iran katupa makombora 15 na 11 yamehit target.. sasa hapo unaona kuna defence yoyote au ni propaganda za kutuaminisha kwamba jamaa hapigiki..
Hata hizo za eurooe zinapigwa tu.
Atasema hizo military base sio za muhimu wala hakuna uharibifu uliotokea..... HahaahLeo ndio nineamini US iko overrated... sasa hizo airdefencence si zingetungua hizo missiles...
Kwa taarifa tu US hawezi ingia anga la iran..
Last time alipoingiza drone yake ya kisasa nadhani wote tunafahamu kipi kilitokea..
Sisi team iran tunasema us aje tumuoneshe makali
Hata trump mzee wa kutwit naona leo kimyaaaa..Atasema hizo military base sio za muhimu wala hakuna uharibifu uliotokea..... Hahaah
Toka usiku wanafanya tathmini
Tatizo ni nini hapo,,Kwa taarifa tu !!!
====
News / Iraq / Editor's Choice
Ain al-Assad: One of oldest, biggest US bases in Iraq
Wednesday, 08 January 2020 7:41 AM [ Last Update: Wednesday, 08 January 2020 9:11 AM ]
![]()
This aerial photo shows Ain al-Assad air base in the western Anbar desert, Iraq, in December 2019. (By AP)
The Ain al-Assad air base in Iraq — situated in Iraq’s western Anbar Province — has long been housing American forces. It has been the target of missile strikes launched by the Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) in retaliation for the US assassination of senior Iranian commander Lieutenant General Qassem Soleimani.
Al-Assad is one of the largest and oldest military facilities in Iraq.
It was built in the 1980s for the Iraqi military in desert around 160 kilometers west of Baghdad.
After the US invasion in 2003, it became one of the biggest bases for American troops.
Aside from US and Iraqi forces, the air base has also hosted US-led coalition partners Denmark and Britain.
The base houses about 1,500 troops comprising of both US military and coalition forces.
In December 2018, US President Donald Trump visited al-Assad secretly and briefly, sparking a wave of condemnations from Iraqi officials, with some of them demanding the expulsion of American forces.
During the trip, Trump acknowledged the security concerns about visiting Iraq, saying it was “pretty sad” that he needed such secrecy to see US troops.
“Pretty sad when you spend $7 trillion in the Middle East, and going in has to be under this massive cover with planes all over and all of the greatest equipment in the world, and you do everything to get in safely,” he said.
In December 2019, US Vice President Mike Pence visited al-Assad to celebrate Thanksgiving.
Mifumo ya Avengers na I-Hawks ndo iliyokuwa inalinda maeneo ya visima vya mafuta kule Saudia. Mifumo hii ni U.S- made na ilishindwa kuzuia shambulio. Baada ya shambulizi ikawekwa mifumo ya Patriot. THAAD inalinda eneo kubwa na inazuia ballistic missiles za anga la juu na nje ya dunia. Kule Japan au South Korea hawapendelei kuweka kwa maana China na North Korea zinaona kama ni dalili za kuanzisha vita. Hata Marekani mbona haipendi India na Turkey wamiliki S 400 Triumf za Russia.Mtoa mada nakukumbusha miaka miwili nyuma enzi za biti za kiduku.. Mmarekani alilazimika kuinstall THAAD South Korea wakati ule. Tafsiri ni nyepesi, siyo kila sehemu waliopo wameinstal THAAD.
Wanainstal kukiwa na uhitaji.
Me sishabikii vita na wala sina upande ninaousupport lkn namuogopa sana Mmarekani.. Namuogopa kwasababu mbili
Kwanza: Alishakuwa na silaha kali na kuteketeza dunia miaka ya 1940s.. Je, leo yupo level ipi ya tecnolojia?
Pili: Tabia yake ya kutokuja public kushow off silaha zake.. tofauti na wenzake.
NI MUHIMU KWA IRAQ, SIO KWA IRAN..KILA KAMBI NA UMUHIMU WAKE...Atasema hizo military base sio za muhimu wala hakuna uharibifu uliotokea..... Hahaah
Toka usiku wanafanya tathmini
Wanadai yamelenga pembeniKwani kamanda anatembea na mifumo ya ulinzi wa anga? Kinachozungumziwa kuvamiwa kwa kambi zenye mifumo yake ya ulinzi wa anga. Kambi ambazo zimejitosheleza kwa lolote. Inakuwaje zinafyatuliwa makombora ambayo takribani asilimia 75+ yanapenya na kuharibu Kambi?
Huyo jamaa ndezi sana! Kama iran angelenga pori bila object yoyote ungekua na la kusema! Ila kambi imeshambuliwa hadi Trump kajamba jamba kua ataongea pakipambazuka na mpaka sasa hajasema chochoteKwani hizo kambi za Logistic na karakana si za Wamarekani?Hizo ndiyo Target yenyewe.Makombora yamefika panapohitajika.
Umeishia darasa la ngapi mkuu?Achen kujidanganya mmarekan haingilik lamda apigwe kwenyekambitu nahapo kwakuvizia ila us yenyewe kabisa nivigumu angangumu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila zote zina wanajeshi na wote wa US ama hao majeshi wanao kaa huko cjui ngerengere hawaba Umuhimu kama hao wa huko kwengne!?Mkuu kila kambi ina umuhimu wake
Hebu tutoe mfano hapa kwetu:
Kambi ya anga ya Ngerengere utalinganisha na Ruvu
Kambi ya Monduli utalinganisha na Mgulani
kila kambi na umuhimu wake na ulinzi wake