Uwezo wa vifaa vya kijeshi vya Mmarekani kutazamwa upya?

Huko hawawezi..

Halafu mkuu sio kila kambi hapo Iraq iko sawa na nyingine, kuna kambi za 'Logistic', kuna kambi ni karakana, kuna kambi za ugavi wa zana..mifumo ya ulinzi inatofautiana. lengo la US hapo Iraq kabla halikua kuishambulia Iran,
Kwani hizo kambi za Logistic na karakana si za Wamarekani?Hizo ndiyo Target yenyewe.Makombora yamefika panapohitajika.
 
Hivi inawezaekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote.

Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
nimesoma sijaelewa swali vizuri, naona kama mmarekani unampendelea sana kwasababu Irani katumia anga ya Iraq alafu iweje wewe uwakabidhi marekani?
 
Kwani hizo kambi za Logistic na karakana si za Wamarekani?Hizo ndiyo Target yenyewe.Makombora yamefika panapohitajika.
Umuhimu wa kambi iliyopigwa Iraq ya US ni tofauti na Kambi kama Aviano Airbase Italy-zote za US. kila kambi ina tofauti kulingana na kuwepo kwake
 
Hivi inawezaekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote.

Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
Netanyau alijifanaya mambo ya iran na US hayamuhusu, ila kwa kipigo alichopewa leo shosti yake trump, imembidi atoe kauli kwa uchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi inawezaekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote.

Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
Mifumo Ya US Ni Dhaifu Zaidi Ya Tunavyo Aminishwa Na Makombora Ya IRAN Ni Imara Zaidi Ya Tunavyo Aminishwa

Full Stop.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umu ndani kuna vituko sana, kumbe zile kambi zilizokuwepo pale Iraq ni kwenye anga la Marekani?

So stupid KABISA.
Hivi inawezaekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote.

Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.

Melvine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani mashambulizi hayo yamefanyika kwenye base za jeshi la US ndani ya ardhi ya Marekani au kwenye base za jeshi la US ndani ya ardhi ya Iraq?

Nijuavyo mimi anga la Marekani liko protected zaidi ukilinganisha na anga la Iraq. Hao Iran wako kama ni wakali waambie washambulie ardhi ya Marekani yenyewe waone kama wataweza.
Kwahio Kama Kambi Ziko IRAQ Hazina Haki Yakulindwa [emoji23][emoji23][emoji23]Unateseka Sana Asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umuhimu wa kambi iliyopigwa Iraq ya US ni tofauti na Kambi kama Aviano Airbase Italy-zote za US. kila kambi ina tofauti kulingana na kuwepo kwake
Kuna kambi inaonekana hakuna wanajeahi hata mmoja kuna mizigo tuuh [emoji2][emoji23][emoji16][emoji1][emoji14][emoji12][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom