Uwezo wa vifaa vya kijeshi vya Mmarekani kutazamwa upya?

Hajui maana ya kombora huyu.Anafikiri kombora ni mshale unaweza kueka ngao na ukazuia
 
SIJAWAHI ONA MAREKANI AKIFANYA MBWEMBWE ZA KUONESHA SIRAHA ZAKE HADHARANI, KUWENI WAPOLE DAWA IWAINGIE

AFU KUNA NDEGE IMEANGUKA IRAN NA KUUA WATU 180 MUDA HUU CHANZO HAKIJULIKANI
 
Hivi inawezaekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote.

Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
Tangu yale makombora yapige visima vya mafuta vya Saudia sina imani na mifumo ya kukabiliana na makombora ya aina ya Patriot na Iron Dome
 
SIJAWAHI ONA MAREKANI AKIFANYA MBWEMBWE ZA KUONESHA SIRAHA ZAKE HADHARANI, KUWENI WAPOLE DAWA IWAINGIE
AFU KUNA NDEGE IMEANGUKA IRAN NA KUUA WATU 180 MUDA HUU CHANZO HAKIJULIKANI
Mkuu.

Mbona unalisha matango pori.

1. Chanzo wamesema ni Engine Failure na hakuna terrorism act

2. Ndege ilikua na watu 170.

Sasa wewe nae

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake!
 
Kuna article moja nilikuwa naiandaa but ngoja niianziashie topic then nitaweka link hapa soon...

Update:
 
Leo ndio nineamini US iko overrated... sasa hizo airdefencence si zingetungua hizo missiles...

Kwa taarifa tu US hawezi ingia anga la iran..
Last time alipoingiza drone yake ya kisasa nadhani wote tunafahamu kipi kilitokea..

Sisi team iran tunasema us aje tumuoneshe makali
 
 
Kama ndio hivyo mbona Iran hakuzuia zile roketi zilizomdondosha Soremayne? Jibu waliviziana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kamanda anatembea na mifumo ya ulinzi wa anga? Kinachozungumziwa kuvamiwa kwa kambi zenye mifumo yake ya ulinzi wa anga. Kambi ambazo zimejitosheleza kwa lolote. Inakuwaje zinafyatuliwa makombora ambayo takribani asilimia 75+ yanapenya na kuharibu Kambi?
 
Marekani alimuua yule General akiwa kwenye ardhi ya nchi gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inavyoonekana hili tukio limemchanganya sana Trump mpaka sasa yuko kimya hajui atupie nini kwenye twitter maana akijichanganya hata dollar yake unaweza kushuka kwa speed ya mwanga
 
US wanaweza kutuma makombora bila kufika Iran. tatizo mpaka sasa ni Trump na maGenerali wake na washauri...Hasa nini kitafata kimataifa na uhusiano wa US na ulaya na yeye na baraza la Congress....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…