Hata iran wanaweza kupiga kambi ya jeshi yoyote ya marekani..US wanaweza kutuma makombora bila kufika Iran. tatizo mpaka sasa ni Trump na maGenerali wake na washauri...Hasa nini kitafata kimataifa na uhusiano wa US na ulaya na yeye na baraza la Congress....
mkuu sio zote,,,Hata iran wanaweza kupiga kambi ya jeshi yoyote ya marekani..
Marekani inaonekana hana defence nzuri kwenye kambi zake... Iran katupa makombora 15 na 11 yamehit target.. sasa hapo unaona kuna defence yoyote au ni propaganda za kutuaminisha kwamba jamaa hapigiki..mkuu sio zote,,,
Ulaya pekee ina kambi zaidi ya kumi za kijeshi za Marekani
wamarekani wenyewe wamegawanyika katika hiki kisanga ila Iran wana umoja ambao haujawahi kutokea hapo kabla, wameunganishwa na choko choko za Trump.... kila nikitazama naona Trump ana mengi ya kupoteza kuliko Iran
Kama ndio hivyo mbona Iran hakuzuia zile roketi zilizomdondosha Soremayne? Jibu waliviziana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mashambulizi hayo yamefanyika kwenye base za jeshi la US ndani ya ardhi ya Marekani au kwenye base za jeshi la US ndani ya ardhi ya Iraq?
Nijuavyo mimi anga la Marekani liko protected zaidi ukilinganisha na anga la Iraq. Hao Iran wako kama ni wakali waambie washambulie ardhi ya Marekani yenyewe waone kama wataweza.
Huko hawawezi..Marekani inaonekana hana defence nzuri kwenye kambi zake... Iran katupa makombora 15 na 11 yamehit target.. sasa hapo unaona kuna defence yoyote au ni propaganda za kutuaminisha kwamba jamaa hapigiki..
Hata hizo za eurooe zinapigwa tu.
Uchambuzi huu una mapungufu makubwa Russia na Iran uwezi kuwatenganisha kwa sababu ya DC nakataa Iran na Russia ni maswaiba hawezi kumletea mwenzake usnitch wa hivyo.Ni Russia tu ndio anangaliwa kama taifa pekee la kuzuia vita isitokee, kwa sababu: Russia ana urafiki mkubwa na Iran na akiwaomba Iran waache wanaweka kumsikiliza pia Russia anaweza kutumia uwezo wake Wa kijeshi kuisaidia Iran kitu ambacho si Ulaya wala Marekani wanatamani kitokee.
Pia, Russia anaweza asiingie kabisa kuisaidia Irani kwa kufanya kwa kufanya hivyo inamaanisha kumfanya Trump ashindwe na Trump ni MTU anayelinda maslahi ya Moscow pale Washington DC.
Ninachoona Russia atakubaliana na Marekani kwa siri kuridhia kuchapwa kwa huyo muajemi kwa makubaliano maslahi yake pale mashariki ya kati yadumu. na kwa hakika muajemi atapigwa bila msaada Wa anaoamini wangemsaidia
Huko hawawezi..
Halafu mkuu sio kila kambi hapo Iraq iko sawa na nyingine, kuna kambi za 'Logistic', kuna kambi ni karakana, kuna kambi za ugavi wa zana..mifumo ya ulinzi inatofautiana. lengo la US hapo Iraq kabla halikua kuishambulia Iran,
Hata Mgulani ni kambi...unataka kusemaje