Kwani hizo kambi za Logistic na karakana si za Wamarekani?Hizo ndiyo Target yenyewe.Makombora yamefika panapohitajika.Huko hawawezi..
Halafu mkuu sio kila kambi hapo Iraq iko sawa na nyingine, kuna kambi za 'Logistic', kuna kambi ni karakana, kuna kambi za ugavi wa zana..mifumo ya ulinzi inatofautiana. lengo la US hapo Iraq kabla halikua kuishambulia Iran,
nimesoma sijaelewa swali vizuri, naona kama mmarekani unampendelea sana kwasababu Irani katumia anga ya Iraq alafu iweje wewe uwakabidhi marekani?Hivi inawezaekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote.
Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
Umuhimu wa kambi iliyopigwa Iraq ya US ni tofauti na Kambi kama Aviano Airbase Italy-zote za US. kila kambi ina tofauti kulingana na kuwepo kwakeKwani hizo kambi za Logistic na karakana si za Wamarekani?Hizo ndiyo Target yenyewe.Makombora yamefika panapohitajika.
Netanyau alijifanaya mambo ya iran na US hayamuhusu, ila kwa kipigo alichopewa leo shosti yake trump, imembidi atoe kauli kwa uchungu.Hivi inawezaekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote.
Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
Kasemaje kwaniNetanyau alijifanaya mambo ya iran na US hayamuhusu, ila kwa kipigo alichopewa leo shosti yake trump, imembidi atoe kauli kwa uchungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna shida gani kama namtoshereza Dada yako kitandani
Mifumo Ya US Ni Dhaifu Zaidi Ya Tunavyo Aminishwa Na Makombora Ya IRAN Ni Imara Zaidi Ya Tunavyo AminishwaHivi inawezaekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote.
Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
Hivi inawezaekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote.
Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
Nani kasema kwenye Anga Ya US Mbna Unateseka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umu ndani kuna vituko sana, kumbe zile kambi zilizokuwepo pale Iraq ni kwenye anga la Marekani?
So stupid KABISA.
Melvine
Kwasababu hawakua na Kambi Yao Yakijeshi Pale IRAQ.....Kama ndio hivyo mbona Iran hakuzuia zile roketi zilizomdondosha Soremayne? Jibu waliviziana
Sent using Jamii Forums mobile app
soma vizuri alichoandika jamaa usihukumu kilofalofaNani kasema kwenye Anga Ya US Mbna Unateseka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio Kama Kambi Ziko IRAQ Hazina Haki Yakulindwa [emoji23][emoji23][emoji23]Unateseka Sana AseeKwani mashambulizi hayo yamefanyika kwenye base za jeshi la US ndani ya ardhi ya Marekani au kwenye base za jeshi la US ndani ya ardhi ya Iraq?
Nijuavyo mimi anga la Marekani liko protected zaidi ukilinganisha na anga la Iraq. Hao Iran wako kama ni wakali waambie washambulie ardhi ya Marekani yenyewe waone kama wataweza.
Nani kasema kwenye Anga Ya US Mbna Unateseka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulaya wanahusiana nn na hii mada kwanza umejibu swali au umejibu swali lakoUS wanaweza kutuma makombora bila kufika Iran. tatizo mpaka sasa ni Trump na maGenerali wake na washauri...Hasa nini kitafata kimataifa na uhusiano wa US na ulaya na yeye na baraza la Congress....
Ngoja nimtafute garder akunyeze
Kuna kambi inaonekana hakuna wanajeahi hata mmoja kuna mizigo tuuh [emoji2][emoji23][emoji16][emoji1][emoji14][emoji12][emoji14]Umuhimu wa kambi iliyopigwa Iraq ya US ni tofauti na Kambi kama Aviano Airbase Italy-zote za US. kila kambi ina tofauti kulingana na kuwepo kwake
Wewe ndio wakusoma vizuri..soma vizuri alichoandika jamaa usihukumu kilofalofa