Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.

Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF

SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowote
 
Mwenzio anacheza kadiri ya mapigo ya muziki.Wewe unaangalia kiatu chake kilivyochongoka mbele.Mnawaza tofauti kabisa.
 
Uwa tunahoji competency za watawala wa Ccm mnatutukana

Nawaambia nchi hii hatuendelei kwa sababu kuanzia rais mpaka mwenyekiti wa shina uwezo wao wa kufanya kazi chanya ni mdogo mno!!!

Na haya yamesababishwa na kulindana na uchawa watu wanavyoamka asubuhi ndio wanaamua jinsi ya kufanya kazi.!!

Refer pia issue ya mahindi na Bashe kiufupi hatuna viongozi.
 
Haya ndiyo matokeo ya kuwapa uongozi watu wenye IQ ya 65
 
Kapita wizara nyingi, na kila wizara kuna bad issues anazingua, huku napo anazingua, anapataje uwazir despite ya kuwa na low performance record? That i dont know
 
Team Magu hii
 
Vyeo vingi wanapeana kwa Itikadi za kisiasa, kulipana fadhila au uchawa!

LAITI KAMA UWEZO NDIO UNGEKUWA KIPAUMBELE SIDHANI KAMA KUNA VIUMBE WANGEPATA NAFASI SERIKALIN.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hata muundo wake kibiolojia haonyeshi kama anaweza kuwa na uwezo kichwani
Mmeanza!Kwamba the "kombineshon" ya kifua,tumbo na kibofu are situated at the very point?πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Huyo no moja m
 
Mwenzio anacheza kadiri ya mapigo ya muziki.Wewe unaangalia kiatu chake kilivyochongoka mbele.Mnawaza tofauti kabisa.
Ana akili gani Ndumbaro ya kujitegemea? Au tukuambie amefikaje hapo hadi kuwa Waziri?? Huyu anaoa mdogo wake na Jenista Mhagama. Na Jenista ndiyo alitumika kumpigia debe kwa Magufuli alagombea jimbo la Songea Mjini baada ya kufa Leonidas Gama.

Na Jenista ndiye alimpigia debe hadi kuwa Waziri.

Kama unabishq, tusubiri uchaguzi wa 2025 kama atapita tena Songea Mjini turudi kwenye post hii uniite Mbwa
 
Sijabisha.Kitendo cha kukaa kwa adabu na Jenista nayo ni akili. Saa hizi anaongoza wizara halafu mimi na wewe wenye "akili" tunabishana hadi mishipa ya viunoni inasimama bila shuruti wala malipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…