Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Ndio maana mpaka sasa huyu ameendelea kuwa waziri. Serikali zenye akili huyu angefukuzwa kwa sms ya WhatsApp tu
😬😬, Wanajiona wote wapo ma- genius, kumbe huku urainai tunawaona kama hii picha.

IMG_20231214_200958.jpg
 
Hana akili, hapo ataajiri walinzi kukamata waliovaa jezi za al ahly
 
Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.

Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF

SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Ndumbaro alipata ubunge kwa sababu JPM alikuwa hamtaki Nchimbi, kwa sasa Nchimbi ndio the bigboss, kwa Ndumbaro, anajua nini kinafuata
 
Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.

Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF

SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Kwani Uwaziri ni kazi inayohitaji Elimu kubwa ??!
Maana nilimsikia Mhe Kikwete Enzi zake akisema hakuna Chuo cha Uwaziri !
Nikajua yeyote anaweza kuwa Waziri. !
 
Back
Top Bottom