Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wenye maumbo kama hayo wanaitwa "Mongols". Mongol refers to a person suffering from Down's syndrome, owing to the similarity of some of the physical symptoms of the disorder with the normal facial characteristics of East Asia peopleHata muundo wake kibiolojia haonyeshi kama anaweza kuwa na uwezo kichwani
Hapa bora tu angeandika Kiswahili CAF wakatafsiri wenyewe. Hivi huko TFF hakuna watu walioenda shule?Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.
Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato
2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba
3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF
SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Huyu jamaa ana IQ ndogo sana. Badala ya kuhimiza timu kufanya mazoezi ya nguvu na kucheza kwa bidii wapate matokeo yeye anahimiza watu wasivae jezi. Hivi jezi ndizo zinacheza mpira? Sijawahi kuona mtu mwenye akili za kipuuzi kama Ndumbaro.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2942430
Kaa zombie[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2942430
ANataka kutuharibia hata tutolewe kuandaa caf hovyo kabisa passport na mpira wapi na wapi? Kwanza hana exposure hivi anajua kwamba wale watanzania wanaishi southafrica 90% hawana passport na wapo kimagumashi ila ndio wanaoenda kushangilia timu za tanzania zikienda southafrica sasa usirushe mawe kama unaishi nyumba ya viooMwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.
Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato
2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba
3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF
SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Ndumbaro mweupe sana. Sijui hata mitihani alipasi vipi huko sekondari.Huyu jamaa ana IQ ndogo sana. Badala ya kuhimiza timu kufanya mazoezi ya nguvu na kucheza kwa bidii wapate matokeo yeye anahimiza watu wasivae jezi. Hivi jezi ndizo zinacheza mpira? Sijawahi kuona mtu mwenye akili za kipuuzi kama Ndumbaro.
Kwa kumuangalia tu utagundua.Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.
Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato
2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba
3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF
SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
CV yake hii hapa. Mavyeti mengi ila kichwani amejaza takataka tuSijabisha.Kitendo cha kukaa kwa adabu na Jenista nayo ni akili. Saa hizi anaongoza wizara halafu mimi na wewe wenye "akili" tunabishana hadi mishipa ya viunoni inasimama bila shuruti wala malipo.
Bado wiki mbili zilizopita aligombana na mama wa chanetaMwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.
Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato
2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba
3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF
SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
haa wapi,,,Simba ishafanya makubwa michuano ya CAF kipindi Ndumbaro hana jina wala hajulikani.Simba SC wanamtegemea sana