Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.

Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF

SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Hauwez kumtukana na kumdharau mtu kuwa, ana uwezo mdogo bila standard za uhakika ili wote tukubaliane. Inawezekana ww ndio huna, uwezo wowote na kaz yako ni kukandia watu kwa, kuwa wanakuzid kipato, elimu. Hayo tunaita ni majungu ya kipumbavu na kijinga. Na huwa yanatolewa na watu wasio na uwezo kwa sababu wamezidiwa.
 
Huyu Hakushinda Uchaguzi Aliwekwa Na Jiwe
Kwenye Mchakato Ndani Ya CCM Alikuwa Nafasi Ya Nne
Dodoma Wakasema Ndiyo Mgombea Ubunge
 
Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.

Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF

SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Kwanini boss wake ana uwezo gani zaidi ya ngonjera?
 
Huyu ndiye anafanya watu wafupi wadharauliwe.
 
Naunga mkono hoja
 
Kuna moja ya juzi juzi hapa kawazuia CHANETA wasisafiri kwenda kwenye michuano ya Africa baada ya Mwenyekiti kusema Serekali haisaidii michezo mingine zaidi ya soka,waziri alienda mbali mpaka kutishia kukifuta chama cha CHANETA
 
Hauwez kumtukana na kumdharau mtu kuwa, ana uwezo mdogo bila standard za uhakika ili wote tukubaliane. Inawezekana ww ndio huna, uwezo wowote na kaz yako ni kukandia watu kwa, kuwa wanakuzid kipato, elimu. Hayo tunaita ni majungu ya kipumbavu na kijinga. Na huwa yanatolewa na watu wasio na uwezo kwa sababu wamezidiwa.
Wewe ndiye mpumbavu ambaye hujasoma sababu 3 nilizoziweka pale post #1. Nazirudia kwa ajili yako:
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF
 
Wewe ndiye mpumbavu ambaye hujasoma sababu 3 nilizoziweka pale post #1. Nazirudia kwa ajili yako:
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF
Kwa uwezo wako mdogo kutamka hayo, uliyoyataja tayari ana uwezo mdogo. Hayo ni matamshi, tu hayana authentication yoyote na ukichukulia kuwa yeye ni mwanasiasa.Mbona Kikwete alisema, maisha bora kwa kila mtanzania, mbona hamkuyapata hayo maisha. Kwa hiyo naye ana uwezo mdogo. Lazima uelewa hao ni wanasiasa hakuna authentication yeyote kuwa ndio hivyo. Mbona lema alisema bodaboda wote wamelaaniwa. Je,ndio hivyo? Ni maneno tu ya siasa. Sio kwamba Lema ana akili ndogo. Kama Dr Ndumbaro ana akili ndogo mbona ana PhD ya sheria na ni lecturer wa chuo. Acha ujinga Dogo.
 
Kama wewe ni ndugu wa karibu wa Ndumbaro nenda kamuambie kuwa ANAPWAYA !! Kuna vitu vidogo tu hata mtu mwenye elimu ya Form VI anaweza kufanya vizuri kuliko Ndumbaro.

Kama kweli alikuwa lecturer wa Chuo basi hicho chuo ni cha hovyo na wanafunzi wake walipoteza hela zao tu kulipa karo.

Pili usiniite Dogo, nina umri sawa na Laurean Ndumbaro ambaye ni kaka yake, shika adabu
 
Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.

Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF

SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
MKitaka kuangalia suala la Uwezo ndani ya Serikali hakuna atakayebaki. Tutatakiwa kufanya uchaguzi upya kabisa.
 
Kama wewe ni ndugu wa karibu wa Ndumbaro nenda kamuambie kuwa ANAPWAYA !! Kuna vitu vidogo tu hata mtu mwenye elimu ya Form VI anaweza kufanya vizuri kuliko Ndumbaro.

Kama kweli alikuwa lecturer wa Chuo basi hicho chuo ni cha hovyo na wanafunzi wake walipoteza hela zao tu kulipa karo.

Pili usiniite Dogo, nina umri sawa na Laurean Ndumbaro ambaye ni kaka yake, shika adabu
Sidhani, mtu mmoja tena unayetumia jina na ID fake unaweza kumdharau mtu mwenye exposure. Ww una inferiority complex. Huna uwezo wa kum underate Dr Ndumbaro ambaye amedefend thesis na kupitishwa mbele ya ma Professor wakubwa duniani. Ambaye ameshinda mitihani ya u advocate kwenye taasisi kubwa. Basi endelea kuunderate watu kwa kuwa, tu huna kitu.
 
Kama ali defend thesis ya PhD na kushinda u- advocate anashindwa nini kutambua Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 inasema nini kuhusu "Freedom of Expression and association".

Kama ni advocate kweli na siyo Bush lawyer muulize Article 19 ya Universal Declaration of human rights ambayo Tanzania imeridhia inasemaje kuhusu hilo.

Acha kutetea mzembe kwa kuwa ni ndugu yako na anakupa hela ya kuishi mjini
 
Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.

Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF

SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Mimi CCM kindakindaki.
Huyu waziri anatuchelewsha, ni waziri mzigo asiye creative.
Hii tungetoa kwa Youth League.
 
Sidhani, mtu mmoja tena unayetumia jina na ID fake unaweza kumdharau mtu mwenye exposure. Ww una inferiority complex. Huna uwezo wa kum underate Dr Ndumbaro ambaye amedefend thesis na kupitishwa mbele ya ma Professor wakubwa duniani. Ambaye ameshinda mitihani ya u advocate kwenye taasisi kubwa. Basi endelea kuunderate watu kwa kuwa, tu huna kitu.
We utakua ndumbaro wewe...
 
Back
Top Bottom