Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Nikishaona mtu anavaa suti na raba, automatically huwa najua ni zombie. Kuna siku kaenda kumpokea celebrity dogo mmoja uwanja wa ndege wa Arusha kipindi Cha dhalimu magu, alikuwa kavaa lisuit la kipeasant, yale masuit oversize, celebrity mwenyewe ni kijana mdogo amevaa hizi suruali za vijana na mchumba wake,wakawa wanashangaa huyu mkulima wa wapi analazimisha kuwasemesha?! Wakaambiwa na waziri wa utalii. Huyo dogo akawa anashangaa maana alikuwa hataki hizo shobo.

Inshort huyo dogo hakuwa anataka habari za huyo mshamba akawa anamkatia juu kwa juu. Na vile huyo Ndumbaro alikuwa anaongea kiingereza Cha English course, basi akawa anamkata dogo steam kishenzi. Alikuwa analazimisha kumuambia kasafiri toka Dar kuja kumpokea eti katumwa na rais Magufuli, maana serekali yake inajali utalii! Dogo alikuwa anaona story ya kishamba, maana hata huyo Magufuli mwenyewe alikuwa hamjui. Nilivyomsikia juzi analazimisha uzalendo uchwara wa kutovaa jezi za team za nje, nikajua ushamba kwake uko kwenye damu.
Tlaatlaah Lucas mwashambwa MamaSamia2025 ChoiceVariable
Eti naye ana PhD!! Hovyo kabisa Chuo kilicho mpa huyu hiyo mikaratasi
 
Mnao mponda huyu jamaa leteni CV zenu tufanye comparison hapa....
Mjadala uishe 😂😂😂
 
Tuliosoma naye sec tunasema sio kweli,yule ni genious kwa taarifa yako. Angalia muundo wa vichwa vya genius wengi.Kama vipi wee nenda tu pale tabora boys nje,au mzumbe sec uwaangalie wakiingia na kutoka utajifunza kitu.Halafu huwa wapo kama hawapo lakini hatari.
Hata kuku anamuona kunguru ni genius kwa vile anaruka toka mti kwenda mti
 
Wapo tayari kufanya lolote ili wapate "ukubwa" na kuondoa mikosi ya ukoo.
Ndiyo hivyo mkuu ukipata sagoma mzuri unatoboa haraka sn, angalia akina Ummy, Makamba, Nape, Mwigulu, Aweso, Mbarawa, Kijaju, Bashe, Masauni n.k hakuna kazi ya maana wanafanya lakini ndiyo wameishika nchi hakuna namna na maza humwambii yaani kwake anajua ni chapa kazi haswa
 
Back
Top Bottom