Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Hauwez kumtukana na kumdharau mtu kuwa, ana uwezo mdogo bila standard za uhakika ili wote tukubaliane. Inawezekana ww ndio huna, uwezo wowote na kaz yako ni kukandia watu kwa, kuwa wanakuzid kipato, elimu. Hayo tunaita ni majungu ya kipumbavu na kijinga. Na huwa yanatolewa na watu wasio na uwezo kwa sababu wamezidiwa.
Mh. Umeamua uingie mwenyewe kujitetea maana haya mawe unayotupiwa siyo ya kitoto.
 
Eti ID Fake. Kwani wewe DAMA2025 ndiyo jina lako la NIDA? Wewe Ndumbaro huma hata uwezo wa kubishana JF, hebu tupishe tu
Tatizo ni inferiority complex uliyonayo ndio inakusumbua. Labda tukuulize, ww uwezo wako ni upi uliolifanyia taifa hili,popote pale ili tujue kuwa una uwezo. Na uwe specific ili tukutafute na tudhibitishe kuwa una uwezo.
 
Mh. Umeamua uingie mwenyewe kujitetea maana haya mawe unayotupiwa siyo ya kitoto.
Wala mm sio mheshimiwa Dr Ndumbaro. Mm ni mdau wa JF Kama ww. Nina haki ya kusupport au kuto support mjadala. Tatizo wabongo wengi wanapenda uamini wanachoongea hata Kama ni pumba.
Mh. Umeamua uingie mwenyewe kujitetea maana haya mawe unayotupiwa siyo ya kitoto.
 
Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.

Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF

SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Mkiambiwa siyo kila PhD ni za wenye Akili Kubwa au ndiyo Wasomi sana msiwe mnabisha sawa? GENTAMYCINE na hutu tudigrii twangu tumoja tu twa SAUT Mwanza ya mwaka 2009 IQ yangu imewaavcha mbali sana wenye Masters na Doctorates zao.
 
Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.

Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF

SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Jamaa amebaki kusema mitano Tena kwa mama tu.
 
Kama ali defend thesis ya PhD na kushinda u- advocate anashindwa nini kutambua Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 inasema nini kuhusu "Freedom of Expression and association".

Kama ni advocate kweli na siyo Bush lawyer muulize Article 19 ya Universal Declaration of human rights ambayo Tanzania imeridhia inasemaje kuhusu hilo.

Acha kutetea mzembe kwa kuwa ni ndugu yako na anakupa hela ya kuishi mjini
Mkuu unapigaje hapo?
 
Tusilaumu mteuzi..shida iko na Tiss wao si ndio wanatoa clearance za wateuliwa ni km wana mkakati wa kuwaclear watu aina ya Ndumbaro wawe viongozi sabab kubwa ni haiba yao ya ukimya, ushamba na uzubaifu..mbali na Ndumbaro waangalie hawa..Mollel, mavunde,yule wa uvuvi, bashungwa, yule wa ulinzi..Tiss wanataka watu wasiojua kuhoji, unapeleka tu km gogo kwenye maji..
 
Uzi ufungwe
Sasa tunaweza kufunga kwa vile tumepiga spana mpaka Serikali imetoa TAMKO kupitia kwa Mobhare Matinyi, Msemaji wa Serikali.
Screenshot_20240324_170723_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom