Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Nilikuwa CEO wa Shirika la Umma, nina MBA ya ukweli na siyo hizo PhD za kununua Mwenge.

Nilikuwa CEO wa Shirika la Umma, nina MBA ya ukweli na siyo hizo PhD za kununua Mwenge
PhD ya mheshimiwa Dr Ndumbaro, inaonekana inakuchoma moyo Sana. Pole na ww utaipata ukijitahid kusoma kwa bidii. Watanzania wengi wana wivu na husuda. PhD ni yake. Mbona inferiority complex zinawaumiza jamani. Inaonekana ni mtu wa majungu kweli kweli. Na Dr Ndumbaro ni kipanga toka huko chini.Endelea kuteseka mkuu.
 
Kipanga wa mazezeta. Kwenye jamii ya vipofu mwenye jicho moja ndiyo mfalme.
 
Kipanga wa mazezeta. Kwenye jamii ya vipofu mwenye jicho moja ndiyo mfalme.
Nafikiri tuishie hapa naona unanijibu Kama mtu wa, vichochoroni. Yaan unaleta majibu ya kihuni. Nakutakia siku njema.
 
Sijabisha.Kitendo cha kukaa kwa adabu na Jenista nayo ni akili. Saa hizi anaongoza wizara halafu mimi na wewe wenye "akili" tunabishana hadi mishipa ya viunoni inasimama bila shuruti wala malipo.

Kupewa wizara uongoze siyo kipimo cha akili. Samwel Doe alikuwa mtupu sana kichwani, lakini aliweza kuwa mpaka Rais wa nchi.

Tangu kale, kuna wakati, vichaa nusu na watu wapumbavu kabisa, wamewahi kuwa na vyeo vikubwa kabisa katika baadhi ya mataifa.

Angalia hata hapa nchini, tafiti zilionesha wajinga wengi wamejaa CCM, lakini ndio wanaotawala. Na sababu ni dhahiri, kichaa nusu na mpumbavu, wakashika madaraka, kwa sababu akili hawana, kwenye kila kitu watatumia nguvu. Mpumbavu akiwa na madaraka haoni shida kuua, kuteka, kutesa watu au kuwapoteza kabisa watu, kama alivyokuwa anafanya Bashite na kundi lake.
 
PhD ya mheshimiwa Dr Ndumbaro, inaonekana inakuchoma moyo Sana. Pole na ww utaipata ukijitahid kusoma kwa bidii. Watanzania wengi wana wivu na husuda. PhD ni yake. Mbona inferiority complex zinawaumiza jamani. Inaonekana ni mtu wa majungu kweli kweli. Na Dr Ndumbaro ni kipanga toka huko chini.Endelea kuteseka mkuu.

Watu hawaongelei PHD yake, wanaongelea uwezo wake mdogo wa akili na hekima.

PHD nyingi za Tanzania hazina uhusiano na uwezo wa akili. Wengine mpaka wanawaajiri watu wa kuwaandalia thesis. Wapo wachache wenye PHD halisia. Kutofautisha PHD halisia na hizi bandia za akina Ndumbaro, Biteko and the like ni rahisi sana. Angalia wanachofanya na wanachoongea.

Kuepuka kuwekwa kwenye kundi moja na hawa, sisi wengine tuliamua kuanzia MSc kufanyia kwenye vyuo vinavyotambulika kwa ubora Duniani.
 
Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.

Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF

SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Wote ni wabovu. Huyo aliyelalamika CAF kuhusun usalam ni mwoga aisyekuwa na sababu ya msingi- ametumia kinachoitwa speculations kutoa malalamiko offoicia bila kuwa na ushahidi, CAF kuulizia hali ya usalama wa michezo ni hatua mbovu ya CAF kuufuatilia innuendo badala ya kuleta watu watu wake kuyathibisha, na vile vile TFF kuwajibu CAF nio hatua mbovu kujibu jambo lisilokuwapo.

Ningekuwa TFF niongesema tu kuwa siyo mara ya kwanza kwa Tanzania kuandaa mashindano kama haya. Kwa sasa hivi uwanja wa mashindano uko tayari na michezo yote itaendelea kama ilivyopangwa; hakuna mabadiliko yoyote kwenye ratiba. Tanzania haina vita yoyote au machafuko yoyote ya kuweza kusababisha mashindano hayo yasifanyike kama ilivyopangwa
 
Vyeo vingi wanapeana kwa Itikadi za kisiasa, kulipana fadhila au uchawa!

LAITI KAMA UWEZO NDIO UNGEKUWA KIPAUMBELE SIDHANI KAMA KUNA VIUMBE WANGEPATA NAFASI SERIKALIN.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kwenye kundi lile wametuzidi mbinu kadhaa za Gizani tu

Kwenye Nuru hawatoboi.
 
Yanga mnaumia sana kuambiwa ukweli kwamba muache kujipendekeza kwa timu za kigeni zinazokuja kucheza na Simba. Huo ndio ukweli mnajipendekeza sana na mna roho mbaya pia, hamna uanamichezo wowote.
 
Yanga mnaumia sana kuambiwa ukweli kwamba muache kujipendekeza kwa timu za kigeni zinazokuja kucheza na Simba. Huo ndio ukweli mnajipendekeza sana na mna roho mbaya pia, hamna uanamichezo wowote.
Waliolalamika ni wanaotaka kuvaa nguo za Mamelodi
 
Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.

Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF

SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Kichwa chake chenyewe tu kimekaa kama zero hivi. Yaani kama ana utindio wa ubongo hivi. What do you expect?
 
Sidhani, mtu mmoja tena unayetumia jina na ID fake unaweza kumdharau mtu mwenye exposure. Ww una inferiority complex. Huna uwezo wa kum underate Dr Ndumbaro ambaye amedefend thesis na kupitishwa mbele ya ma Professor wakubwa duniani. Ambaye ameshinda mitihani ya u advocate kwenye taasisi kubwa. Basi endelea kuunderate watu kwa kuwa, tu huna kitu.
Huyu definitely ni Ndumbaro!
 
Back
Top Bottom