Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.

Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato

2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba

3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF

SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Ndege wanaofanana.......
 
Ni aina ya madikiteta uchwara huyu ukimpa nchi anaweza akaamuru wake zetu wakalale kwake, alafu eti ni mwanasheria wa makama kuu, anaweza simama ni kina Kibatara huyu kwa hizi akili kisoda
 
Unazungumzia kuhusu akili wakati Ndumbaro hana hata ubongo.... Jitu lenyewe linaitwa NDUMBARO
 
Wote ni wabovu. Huyo aliyelalamika CAF kuhusun usalam ni mwoga aisyekuwa na sababu ya msingi- ametumia kinachoitwa speculations kutoa malalamiko offoicia bila kuwa na ushahidi, CAF kuulizia hali ya usalama wa michezo ni hatua mbovu ya CAF kuufuatilia innuendo badala ya kuleta watu watu wake kuyathibisha, na vile vile TFF kuwajibu CAF nio hatua mbovu kujibu jambo lisilokuwapo.

Ningekuwa TFF niongesema tu kuwa siyo mara ya kwanza kwa Tanzania kuandaa mashindano kama haya. Kwa sasa hivi uwanja wa mashindano uko tayari na michezo yote itaendelea kama ilivyopangwa; hakuna mabadiliko yoyote kwenye ratiba. Tanzania haina vita yoyote au machafuko yoyote ya kuweza kusababisha mashindano hayo yasifanyike kama ilivyopangwa
Wewe akili yako ni ndogo sana na huna uelewa wa namna FIFA inavyofanya kazi. Hizo dosari zaweza kufanya nchi ifungiwe kushiriki mashindano yanayotambuliwa na FIFA, halafu wewe pimbi mmoja umevimbiwa daku la jana unaita innuendo
 
Sio Ndumbaro tu hata huyo aliyeandika hicho kingereza kwenye hiyo barua ya kuwajibu CAF ni janga lingine. Hivi ni kweli hiyo barua imeandikwa na secretary wa Shirikisho la soka au wamempa form 1 akawaandikia.
 
Ni aina ya madikiteta uchwara huyu ukimpa nchi anaweza akaamuru wake zetu wakalale kwake, alafu eti ni mwanasheria wa makama kuu, anaweza simama ni kina Kibatara huyu kwa hizi akili kisoda
Nakumbuka wakati wa Magufuli alikuwa ni Ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na alikuwa kwenye timu ilyokwenda South Africa kwenda kupambana kunasua ndege ya ATCL iliyokamatwa na Mkulima Steyn. Kimsingi hakuna ambach mjopo la Wanasheria walifanya zaidi ya Cyril Ramaphosa kuisaidia Tanzania iepuke na ile aibu. Ila yeye alitamba kuwa walikuwa na timu ya wabobezi wa sheria.
 
Wewe akili yako ni ndogo sana na huna uelewa wa namna FIFA inavyofanya kazi. Hizo dosari zaweza kufanya nchi ifungiwe kushiriki mashindano yanayotambuliwa na FIFA, halafu wewe pimbi mmoja umevimbiwa daku la jana unaita innuendo
Wewe akili yako ni mmoja wa wapumbavu tuliowahi kujadiuli hapa. Kwa vile unadhani kuwa FIFA hawana akili kama wewe na wanafanya kazi kwa kusikia maneno ya mitaani bila kuwa na ushahidi basi acha kuingilia maneno ya watu wanaoongea kwa kutumia akili.

Mithali 26:4:- Usibishane na mpumbavu usijekuwa sawa na yeye....

Mimi ni nani niipinge Biblia!!???
 
Kwa sababu wewe ni mpumbavu hivyo unadhani wengine wote ni wapumbavu zaid yako. Upeo wako wa juu uko kwenye upumbavu tu
 
Asante Damas Ndumbaro, mtu kilaza lakini mwenye bahati ya kuwa waziri Tanzania
Ndugu Huihui kwanza naomba uelewe kuwa, mm sio mheshimiwa Dr Ndumbaro. Pili, naona una chuki binafsi na Dr Ndumbaro. Nakushauri tu kwamba chuki, dharau unazoonyesha kwenye public kama hii hazitakusaidia. Na ww jaribu, kutafuta nafasi uwe wazir au uwe na PhD maana naona unaumia Sana. Pole Sana. Hii ni dunia, tunapita tu ndugu yangu. Wala usipaniki na kuwa na chuki kiasi hicho.
 
Kuna haja gani kuwa na PhD Bwana Ndumbaro halafu useme Chato ni kitovu cha utalii? Hiyo ni akili au matope??
Bora hata darasa la 7B kuliko hiyo PhD yako
 
Inaonekana PhD inakuuma sana na inataka kukutoa roho.Heri ya Dr Ndumbaro, anajulikana kuwa ni mbunge na ni wazir. Ww unayetukana kuwa ana akili matope na mm tuna ID fake. Hatujulikani popote.Inawezekana mm na ww ni machokaraaa tu wa mtaani. Kwa hiyo unajifanya kutuma thread ili tu utoe stress zako nyingi tu za maisha,zinazokusumbua.Huu mjadala ni void ab initio.
Kuna haja gani kuwa na PhD Bwana Ndumbaro halafu useme Chato ni kitovu cha utalii? Hiyo ni akili au matope??
Bora hata darasa la 7B kuliko hiyo PhD yako
 
Waliolalamika ni wanaotaka kuvaa nguo za Mamelodi
Hakuna mwanasimba anayevaa jezi ya team inayocheza na Yanga hata siku moja.

Yanga mlivaa jezi za TP Mazembe mkavaa jezi za Orlando Pirates mmekuwa mnafanya mengi ya kijinga dhidi ya Simba lakini hata hawahangaiki kujibu mapigo.
 
Mtu ana sura ya duara kama humpy dumpy sat on a wall ......
 
Back
Top Bottom