Uwezo wetu wa akili ni mdogo mno, teknolojia yetu inaenda kama konokono, binadamu anachekwa kila kona

nikuulize tu tokea umezaliwa umeona evolution ya kitu gani ikakushangaza angalau mm nimeona player,cassete,disc na flash....ww umeona nn? na bado flash ipo sasa for more than ten years na hakuna kilichogunduliwa tena
usikazane kuuliza maswali, wewe jisemee binafsi kwamba una akili ndogo, usianze kutulazimisha tufanane akili na ya kwako na hatutaki.
 
Ushawahi kujiuliza kwa nini wanaoreport haya mambo mara nyingi ni marubani wa jeshi la US si Japan, siyo Korea, siyo Ufaransa wala siyo China?
brother hiyo maneno ni kila mahali belgium ndo usiseme..hadi iran google that ila turudi kwenye mada akili yako ina kiwango gani
 
usikazane kuuliza maswali, wewe jisemee binafsi kwamba una akili ndogo, usianze kutulazimisha tufanane akili na ya kwako na hatutaki.
tena wewe ndio plan Z umekwama kabisa...inawezekana hata hii mada hujaielewa unanifuja tu akili
 
Wengi hawatakuelewa. Mwanadamu wa dunia hii hajitambui bali kiburi na ujinga ndo vimemtawala. Kufikiri kuwa yeye ni kiumbe mwenye ufahamu wa juu kuliko kiumbe chochote ndo vimetawala fikra zake. Pasipo kujua kuwa wapo viumbe katika sayahi hii na sayari zingine wenye uwezo na upeo zaidi ya "Spider man".

Ni sawa na sisimizi,ambao katika jamii yao hujiona wao ndo viumbe wenye akili nyingi kuliko kiumbe chochote bila kujua kuwa kuna mwanadamu mwenye uwezo wa kutengeneza mitambo mikubwa na "Spacecraft" zenye uwezo wa kwenda mwezini,Mars na hadi nje ya Solar system.

Wapo viumbe wenye uwezo mkubwa mno kuliko mwanadamu,kiasi kwamba hata wakituangalia wanacheka na kutudharau km ambavyo tunavyowacheka sisimizi.
 
usikazane kuuliza maswali, wewe jisemee binafsi kwamba una akili ndogo, usianze kutulazimisha tufanane akili na ya kwako na hatutaki.
We kubali bro! Tumeshindwa hata kuwakabiri virus ambavyo havina utashi, tumeshindwa kugundua namna ya kuzuia centrioles na spindles kwenye animal cell ziwe jinsi tutakavyo ili kukikwepe kifo! Kwa sasa hatuwezi hata kufanya mummification kama wale wamisri wa kale! Sisi tupo tupo tu sasa
 
Subiri wakuda waje wakwambie hio radio ya ndio state of art.
 
Halafu mkuu inaonekana kama tunavyozidi kwenda mbele ndo tunakua wajinga zaidi...heb angalia hiyo ishu ya mummifications?
 
kabisa mkuu
 
Kwamba sisimizi nao wanajiona wana upeo mkubwa kuliko kiumbe yoyote? Ila kama kuna viumbe wengine huko ambao wapo more intelligent watakuwa wanatushangaa sana, yaani kauvumbuzi kadogo tu utasikia kelele nyingiiii.......ibilisi katubana sana kwenye ufahamu, Mwenyezi Mungu hakutuumba tuwe wajinga namna hii. Imagine kama intelligence yetu isingekuwa imebanwa mahali, ile content ambayo ipo kwenye elimu ya kufikia ngazi ya PhD, badala ya kutumia miaka 18 kuielewa tungetumia mwezi mmoja pekee!
 
🤣 🤣 🤣 🤣 I see.
 
Mkuu huoni kwamba kuna vitu vinafanyika makusudi? vipo jinsi vilivyo kwasababu fulani fulani na si kwasababu hawawezi kugundua kingine??

Sijui kitu nafikiria tu!
 
akili ndogo kama yako ndio inafikiria modification...mi naongelea invention brother...kama huku africa ndo kabisa mtu anazaliwa hadi kufa hajagundua chochote hata style ya kula mbususu
Acha bangi wewe....
Fanya makubwa tuone hiyo akili yako kubwa...vinginevyo utakuwa una mental illness.
 
kwanza usilaumu watu,jiulize ww umegundua nn,usitumie mda wako kulaumu watu,technology iko mbali sana,ni ww tu hutaki kuelewa ivyo,
if u cant compete with technology bac ni bora ufanye ishu nyingine,inovation ni long process ina itaji dedication ya mda na resources,
just relax and observe wanaofanya innovation hawana mda wa ku complain kama ww.
 
Ninakuelewa sana.
Kwenye upande wa tiba binadamu amefeli sana(labda iwe ni ujanja wa kibiashara), aids imeitesa dunia kwa karibu miaka 40 sasa bila kupatikana dawa.
Hii ni aibu kwa binadamu.
 
Halafu mkuu inaonekana kama tunavyozidi kwenda mbele ndo tunakua wajinga zaidi...heb angalia hiyo ishu ya mummifications?
Kwa sasa magenius so wengi kama zamani! Magenius kwa sasa badala ya kupambana kuzikabili changamoto za ulimwengu wanakimbilia tamaa ya pesa! Wanatumia muda mwingi kujifunza IT ili waweze kupata soft money kwa kuhack!
Kwa sasa watu wanaodevote time yao kuisaidia dunia kwa maslahi kidogo kama Nikola Tesla au Newton wameisha kila mtu anaiwazia pesa siyo kuusaidia ulimwengu na walimwengu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…