Uwezo wetu wa akili ni mdogo mno, teknolojia yetu inaenda kama konokono, binadamu anachekwa kila kona

Vijana mnaotoka chuo bana...
Nimesoma uzi wote unakosoa as if wewe una teknolojia yoyote hata hapo mtaani kwenu. Hebu jifunze ku appreciate kwanza maana hata kifaa unachotumia humu JF ni dhahili hayo ni matokea ya teknolojia unayoikosoa.
kweli we ni chai jaba ...hujaelewa hata huu uzi unachodai...nilichokiandika ni technolojia hafifu na inayoenda kidogo mno na wajinga kama ww ndo wanaridhika na kuona tumefika mbali,ndio maana sasa hv hamna tena ubunifu mpya ila ni kuboresha wa zamani sasa kama tupo slow hivi na wewe huoni kuna tatizo basi una matatizo makubwa kwenye maisha yako kama binadamu

halafu mimi nimejiunga JF mwaka 2009 leo nina miaka 12 hapa JF sasa piga mahesabu nimetoka chuo au unatakiwa ukatibiwe magonjwa ya akili

stupid...
 
usikazane kuuliza maswali, wewe jisemee binafsi kwamba una akili ndogo, usianze kutulazimisha tufanane akili na ya kwako na hatutaki.
uko kwenye denial stage...kila mtu anajaribu kukueleza wewe ni mbumbumbu na hutaki kukubali anyway najua huwezi kujiona..maana kiumbe wa mwisho kujua kuna maji ni samaki ..so stay dumb...its for your own funeral 😅😅
 
Thread Kama inafikirishaa hivi..Ila ni kweli kiasi
sio kiasi bro ni saana,imagine kuna mtu analimia jembe la mkono Africa...lakini si africa? je trekta je? lina miaka mingapi limeshindwa kuboreshwa? liwe hata smart tractor? harrow combine imefeli pia...machine za kilimo za kisasa (kama mnavyodai) zipo chache na ni custom made..hakuna mtu yupo tayari kushare na mwingine..leo ukiwa na combine harvester itazunguka nchi nzima ikikodishwa na haijaboreshwa zaidi ya miaka 45 sasa..kama sio ujinga wa mwisho na ubinafsi tunao ni nn?
 
Mkuu duniani kuna trechnology zipo very advanced ila zipo classified, mfano teknolojia nyingi za sasa kwenye TEHAMA zilikua zinatumika miaka ya 60s na 70s kwenye mejeshi ya nchi zilizoendelea.
mkuu kama technolojia gani ipo advanced? IDF wamegundua drones in the early 90's technolojia kama ya nuclear ni ya kawaida mno...leo nenda kwenye kampuni kama lockheed martin uone wanavyosifia ujinga tu a lot of propaganda...
mkuu heb angalia zile rovers zilizoenda mars kuanzia sojouner 1997 hadi perseverance na zhurong 2021 maendeleo ya kitechnolojia yameenda slow sana na nyingine zimekuwa defunct kabisa yaani hata kazi hazifanyi zimefail...kwenye perseverance wakaweka kiquadcopter sijui kama hata kinafanya kazi bado

sasa uyaone hayo majinga ya nasa yanavyoshangilia chombo chao kikitua ujinga tu...kutua? mi nilidhani by now ingekua kila sayari chombo kimeenda na watu ndani tujue sorroundings zetu? sasa kama sayari ya mars tu imekua ishu kwenda? je jupiter au saturn huko au lini tutatoka nje ya milkway galaxy yetu? kwa akili hii ya NASA labda miaka milion 3

Stupid humanoids....
 
Wewe ni billionea nani mkuu?sisi wengine hatukujui
 
sio lazima utafute kitu cha kulinganisha ujinga wako...weka base halafu angalia progress yako ikiegemea muda shida ya hii dunia mmewaachia wenzenu wawasaidie kufikiri na wakishafikiri mnaamini wanachokisema hao kina enstein na wenzie walipambana kufikiri lkn hawakualea kizazi cha kufikiri kama wao ndipo wanapotokea watu wajinga kama wewe ambao wanatafuta kitu cha kulinganisha nacho..kwa akili ya kawaida tu huwezi kuona technolojia yetu inavyoenda slow? kama binadamu hamna new invention hamna lolote? halafu unakuja hapa na kuleta ujinga wako wa time is relative? hatujilinganishi na kitu ila kama una akili utaona jinsi ambavyo tupo nyuma
 

Kazi kwelikweli! Hata kuwepo JF mda mrefu bado haijakusaidia kitu ndugu, Upo tu.

Basi nikupongeze kwa hili bwana mdogo, upeo wa akili yako kufikiria ni mkubwa sana na unaweza kufika hata extra-miles kulikoni binadamu yeyote yule kwenye ulimwengu huu kwa kuona/kugundua teknolojia ya Dunia ipo taratibu sanaaa kubadilika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pia nikushauri uwe na tabia ya kujifunza jambo hususani kufahamu origin/evolution, challenges/impacts kabla ya kutoa mada, Ukifanya hivo itakupa urahisi kueleza jambo kitaalamu zaidi na Facts mahususi sio kutukana.

Goodmorning.
 
Wewe ni billionea gani mkuu,sisi wengine hatukujui
sijasema mimi ni bilionea ila naishi kwa kuuza ugunduzi wangu ambao ni kikawaida tu kama binadamu yoyote wa kawaida usisahau sijasema nina akili kuzidi wengine nimesema sisi binadamu bado sana including me
 
wewe ndio umesema nimetoka chuo hayo mambo ya kujifunza origin,challenges na impacts ndio yanawafanya mnabaki nyuma kwa kutoa visababu vinavyowafanya muwe hapo mlipo...mnafata trend hiyo hiyo kila kitu hamna jipya...
 
hii ina ukweli...
 
kwa hiyo Mkuu kuna vitu vitatu umekubali!
1. Hakuna tena new Inventions kwenye kizazi hichi
2.Wenye Akili zisizo za kawaida hawapo tena
3. Tunadepend Akili za wachache mno

hiyo namba 3 ndio tatizo ninaloliongelea kama watu ambao tunawategemea wako wachache au hawako kabisa tunaendaje mbele? kama system zetu zimeshindwa kuproduce watu wa kariba ya kina newton huoni hatuna hata haja ya kujilinganisha na chochote? Hv mkuu hebu angalia technolojia kwa upana wake usibase tu kwenye IT angalia impact ya techology kwenye kila angle ndio utajua sisi kama binadamu bado..hata kuapply baadhi ya vitu tulivyonavyo imekua ni shida na tabu tupu
 
kweli kabisa mkuu
 
Ninakuelewa sana.
Kwenye upande wa tiba binadamu amefeli sana(labda iwe ni ujanja wa kibiashara), aids imeitesa dunia kwa miaka zaidi ya 20 bila kupatikana dawa.
Hii ni aibu kwa binadamu.
hapa kwenye tiba tupo nyuma kabisa
 
Hebu wewe weka hiyo base tuone kama Na yenyewe sio relative
 
Nimesoma uzi wote na kote nimeona upo sahihi ila nimegundua kosa moja tu.

Correction.
Naamini by "uwezo wetu ni mdogo" ulikuwa unajiongelea mwenyewe.
Na kosa lako ni kutumia neno "uwezo Wetu" badala ya "Uwezo Wangu".

1912 watu walitengeneza meli yenye uwezo wa kuchukua watu 3500.
Wewe uliyezaliwa juzi umegundua nini ambacho ni great contribution to the world?

Mkuu if you're just trolling around then it's ok but if you're serious then this is an immense level of bullshit.
 
Primitive comparing to who?

Yourself and white people?
 
What's new in the world? Nothing.

Upoyoyo tu unatuandama lakn we are extremely primitive kwa kila kitu.

Kuanzia elimu zetu and everything, halafu eti tunajigambaga mambo ya ki jingajinga sana.

Shame all of us!
Mkuu una uhakika babu zako ndio wameleta utamaduni wa elimu africa?

Nijibu hilo swali jepesi.
 
Leta research and results ulizopata ya uwepo wa hao viumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…