maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Kwa hiyo anataka kusema Mh. Rais amemsimamisha kimakosa huyo naibu Waziri bila kufanya uchunguzi? Mbona kama sijaelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kumwelewa mwanaccm inabdi uwe na akili za mwendawazimu,Kwa hiyo anataka kusema Mh. Rais amemsimamisha kimakosa huyo naibu Waziri bila kufanya uchunguzi? Mbona kama sijaelewa?
mkuu lipanya buku lilishatoa kichwa, hao vipanya buku ni nani waendelee kuficha vichwa.Naona panya buku wanashindana kutoa vichwa vyao kwenye mashimo.
Mbona hamjamvua uanachama wa UWT?
UWT HAITAMVUMILIA KIONGOZI YEYOTE MWANAMKE ANAYEKIUKA HAKI ZA BINADAMU
27 Novemba, 2023
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mary Pius Chatanda amesema UWT imepokea kwa masikitiko tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Babati Mjini Mhe. Pauline Gekul kuhusu kumfanyia ukatili kijana Hashim Ally.
"Sisi UWT tunazunguka nchi nzima kupinga ukatili wa kijinsia na kuporomoka kwa maadili hivyo tunapinga vikali kitendo hiki na endapo tuhuma hizi za Mhe. Pauline Gekul zitathibitika hatua stahiki zichukuliwe na adhabu kali itolewe dhidi yake" - Amesema Mhe. Chatanda.
Aidha amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutengua Uteuzi wa Mhe. Pauline Gekul kama Naibu Waziri wa Katiba na Sheria.
#UWTImara
#UWTJeshiLaMamaSamia
#TunapingaUkatiliWaKijinsia
View attachment 2827264View attachment 2827265
Bangusilo kapatikana.
UWT HAITAMVUMILIA KIONGOZI YEYOTE MWANAMKE ANAYEKIUKA HAKI ZA BINADAMU
27 Novemba, 2023
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mary Pius Chatanda amesema UWT imepokea kwa masikitiko tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Babati Mjini Mhe. Pauline Gekul kuhusu kumfanyia ukatili kijana Hashim Ally.
"Sisi UWT tunazunguka nchi nzima kupinga ukatili wa kijinsia na kuporomoka kwa maadili hivyo tunapinga vikali kitendo hiki na endapo tuhuma hizi za Mhe. Pauline Gekul zitathibitika hatua stahiki zichukuliwe na adhabu kali itolewe dhidi yake" - Amesema Mhe. Chatanda.
Aidha amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutengua Uteuzi wa Mhe. Pauline Gekul kama Naibu Waziri wa Katiba na Sheria.
#UWTImara
#UWTJeshiLaMamaSamia
#TunapingaUkatiliWaKijinsia
View attachment 2827264View attachment 2827265
Kwa hiyo anataka kusema Mh. Rais amemsimamisha kimakosa huyo naibu Waziri bila kufanya uchunguzi? Mbona kama sijaelewa?
Hivi hili jina mbona halitumiki siku hizi?😝Chama cha wasimbe
Hivi hili jina mbona halitumiki siku hizi?
Kuanzia sasa tunakutimua kwenye jumuiya ya UWT hadi itakapothibitika kwamba tuhuma ni za uwongo
Porojo kama porojo nyingine tu!!Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umetangaza kusikitishwa taarifa za tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Babati Mjini, Mhe Pauline Gekul kuhusu kumfanyia ukatili kijana Hashimu Ally huko Babati Mjini, Mkoani Manyara.
Taarifa ya UWT kwa umma imesema Umoja huo hautavumilia kiongozi yeyote mwanamke atakaethibitika kufanya vitendo vya ukatili wa kijinsia na kubainisha kuwa UWT inazunguka nchini nzima kupinga na kukemea ukatili wa kijinsia na kuporomoka kwa maadili.
Hivyo UWT inasisitiza umuhimu wa viongozi kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia viapo vyao, maadili ya uongozi na utawala bora. UWT inapinga vikali kitendo hiki na endapo tuhuma hizi za Mhe Pauline Gekul zitathibitika hatua stahiki zichukuliwe na adhabu kali itolewe dhidi yake.
UWT inampongeza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa CCM kwa maamuzi ya kutengua uteuzi wa Mhe Pauline Gekul kama Naibu Waziri wa Katiba na Sheria.
Aidha, UWT tunaviomba vyombo vya dola kukamilisha uchunguzi kwa haraka ili kuleta imani kwa wananchi na tunatoa pole kwa familia iliyoathirika.
Soma:
- Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto
View attachment 2827309
Huo mkondo ni kwa wananchi wa kawaida na CDM tu!Ukweli utafahamika na sheria ifuate mkondo wake.1