UWT yalaani vikali BAWACHA kuchoma vitenge vyenye picha ya Rais Samia, yasema ni upuuzi na utoto mkubwa

UWT mimi nimekuwa nafahamu kama ni kifupi cha umoja wa wanawake Tanzania lakini mwandishi wa uzi huu anasema ni umoja wa wananchi Tanzania
 
Mkuu hiyo ni aina ya maandamano yasiyo hitaji taarifa kwa polisi. Taratibu formula ya kufanya maandamano inabadilika!!!

Mwashambwa, usifikiri wapiga kura milion 7 wa upinzani ni jambo dogo!!!
Millioni 7? naona umechanganyikiwa sasa.
 
Sas apo itakuwaje mkuu na vishachomwa tayari hii ni dharau kwa mamlaka
 
Labda hiyo ndio njia ya BAWACHA kuuwa nguvu hasi ya ....!!
 
Hivi BAWACHA walivipataje? Sasa kwa nini UWT waliwapatia BAWACHA kama walifanya hivyo?
 
Unapamba thread kama unaenda mbunguni,UWT ndo kitu Gani? Vipi zingeungua tu wangelaumu moto? Ccm imeanzisha Siasa za kishamba acheni ushamba uendeleeeeee
 
Vitenge ndio wameona vya maana,kumwambimbia mwenyekiti jinsi watu wanavyosubiria kwa hamu ripoti ya watu kutekwa, kuuwawa,Wewe unakuja na za kipuuzi kuchomwa vitenge,kweli heli Mungu akupe Hekima na kuamua kwa haki,bila kuwa chawa ovyo kama Mwashambwa!
 
Na majivu ilitakiwa wangeyatupa chooni choo cha tandale...
 
Bawacha hawana watu wenye akili Timamu na wanaojitambua wanaoweza kuwaunga mkono.ndio maana unaona wamepuuzwa na kudharaulika sana kwa watanzania
Usiseme na watanzania,usitusemee,tupo wengi tunaona watu wanatekwa na kuuwawa,kama Mtanzania unayefurahia haya ni Wewe
 
wamefanya kazi nzuri bawacha piga njiti hizo takataka huyu sa100 apingwe kwa vitendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…