Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
aah sina hata habari nazo mkuuumepishana na 1.5 T?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aah sina hata habari nazo mkuuumepishana na 1.5 T?
swadakta, hata usipoipenda nchi sawa tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzalendo ni kuwa mshamba na kukata viuno kushangilia CCM na mwenyekiti wake.
View attachment 846828
Sent using Jamii Forums mobile app
aise kama ile ndo tafsiri ya uzalendo.....bora kuwa vetelani wa nyumbani tuUkimuona lugola umepata tafsiri ya uzalendo, namaanisha dressing code yake sambamba na kuambatana na ilani popote pale.
usipo ikosoa huku unashuhudia twiga anapanda ndege kwa mfano....au watu wanapiga kama epa vile na sijui kama ile wanayoidai watu 1.5 hivi unakuwa mzalendo ama ndo tafsili ya. nini hiyoNot quite, wengi wetu tunaipenda serikali yetu lakini hatutambuliki. Siku hizi uzalendo ni kupigania serikali, kutoikosoa kwa namna yoyote ile, kuiunga mkono kwa kila kitu inachofanya na kuishangilia.
Habari wanajamvi. Kama kuna kitu kinanitatiza sana miaka hii ni matumizi ya neno "UZALENDO". nikiwa shule ya msingi niliwahi fundishwa kuwa mzalendo ni "mtu anaeipenda NCHI yake, na kuwa tayari kuipigania na hata kufa kwa maslahi ya nchi yake". Labda kama walimu wangu walinidanganya maana nachokiona leo ni tofauti na nilichofundishwa. Sikuhizi nasikia hawa wanasiasa wetu wakikusikia unaikosoa serikalo au kuwa na maoni tofauti na wao juu ya mambo fulani watasema WEWE SIO MZALENDO. mfano, lissu,zitto na wengineo walipokua wakikemea mambo mbalimbali kama mauaji n.k .. Baadae pia nikasikia UZALENDO ni ile hali ya kuhama toka upinzani na kuiunga mkono SERIKALI iliyopo madarakani. Mnaojua maana ya uzalendo msaada please. Nataka kuelewa.