Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
Wengine shida ni lugha tu
Nikweli kabisa, Ile ngeli ya juzi kwa Mama anadhani Hayati angeweza kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine shida ni lugha tu
Mimi nafikiri ungetupa gharama halisi aliyoitumia Rais Samia alipokwenda kwenye ziara UNGA.
Wengine shida ni lugha tu
Ilakweli,mbona sikuona abiria wengine wanashuka au walipelekwa Terminal 2 baada ya Samia kushuka?Hiyo ndege waliikodi yote... Hamna abiria wa kawaida Mule!!.. Tusidanganyane
Yes mkuu .PM wa Haiti kuongea on zoom lugha inaingia vp hapo? Haiti ipo 4hrs away from NY.
Khama nae ilikua lugha?
Mnajua sio lazima utumie English ndo maana kuna watafasiri?
Viongozi wajue hakuna ulazima wakwenda huko. Hata angetumia laki moja hakuna mantiki.
Hilo ndo la maana, kuniambia Samia na msafara wake katumia 142m tu nakataa kabisa itakuwa zaidi naomba wajuzi wa mambo watupe, Nauli ya First class na Bussiness class. Tz to Usa.Mimi nafikiri ungetupa gharama halisi aliyoitumia Rais Samia alipokwenda kwenye ziara UNGA.
Mpumbavu huyo,zero brain,kwa kuwa kuna wajiga wengi.Kwani alienda UN kutembea au kuifanyia kazi kwa maslahi ya Zambia?Hivi human Resource ameifuta,ataeleweka kweli?Nasikia rais wa Zambia kaenda Marekani na watu watatu!!!
Wafanya biashara walijilipia nauli. Usikurupuke kuandika vitu usivyovijua.Kwani hizo alizotumia sio hela , mnajiaminiiiishaaaa , angalia hiyo delegation yake ni zaidi ya watu 20 ukiachilia mbali advanced team
Katafute pesa mtaani wachana na ujinga wa Siasa za majukwaa. Hizo ni za akina Mbowe na CCM, wanajuwana haoMuongo huyo, hata Katiba ya sasa yenyewe haifuati, kutuzuia kufanya Siasa za majukwaani ni Udikteta.
Lini Rais Samia amekataa swala la katiba?
Chadema mliambiwa mumpe muda swala la katiba shida iko wapi?
Uzalendo ni imani
Umeishi nchi ngapi hapa Africa.Swala sio utajiri au umasikini,
Kwaakili Tanzania tunashindwa kugharamia safari ya UNGA kwa kiwango cha kifisadi?
Hoja hapa ni UZALENDO wa Mzalendo namba moja Samia Suluhu Hassan,
Ukisoma hiyo Source Watu wa Angola wanalalamika kama uchumi ni huo Why walalamike,
Tukubaliane kwa Sasa Africa, Mzalendo namba Moja ni SAMIA SULUHU HASSAN TU.
Linganisha kwanza uchumi wa Tanzania na wa Angola kabla ya kusema chochote!! Angola ni tajiri sana kwa kulinganisha na Tanzania!! Kwa kukusaidia uliza gharama ya kumsafirisha rais wa marekani kwa kutumia air force one!! Uchumi ukiruhusu ni heshima na salama zaidi kwa rais kutembelea ndege ya binafsi!! Kwa uchumj wa Tanzania hilo haliwezekaniki!! Utakuwa ni ufisadi!!
Acha kujipendekeza Mtoto wa Mama wewe
Wafanya biashara walijilipia nauli. Usikurupuke kuandika vitu usivyovijua.
Advance party ni sehemu ya kazi za TISS na kila Rais anayo
Yani kuna mijitu ni mijinga,,asa huyo jao sijui joan anatuhusu nin waTZ
😍😍😍😍Mpumbavu huyo,zero brain,kwa kuwa kuna wajiga wengi.Kwani alienda UN kutembea au kuifanyia kazi kwa maslahi ya Zambia?Hivi human Resource ameifuta,ataeleweka kweli?
Huyo mbwa koko msubili after one year atakupa majibu tofauti.