Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

Linganisha kwanza uchumi wa Tanzania na wa Angola kabla ya kusema chochote!! Angola ni tajiri sana kwa kulinganisha na Tanzania!! Kwa kukusaidia uliza gharama ya kumsafirisha rais wa marekani kwa kutumia air force one!! Uchumi ukiruhusu ni heshima na salama zaidi kwa rais kutembelea ndege ya binafsi!! Kwa uchumj wa Tanzania hilo haliwezekaniki!! Utakuwa ni ufisadi!!
 
Mimi nafikiri ungetupa gharama halisi aliyoitumia Rais Samia alipokwenda kwenye ziara UNGA.

..pia Rais SSH angeweza kuhutubia kwa njia ya MTANDAO ili kuokoa gharama zaidi.

..Wako viongozi kadhaa wazalendo wa kweli kwa nchi zao wamehutubia mkutano wa UNGA kwa mtandao na kuokoa fedha nyingi.
 
Wengine shida ni lugha tu

PM wa Haiti kuongea on zoom lugha inaingia vp hapo? Haiti ipo 4hrs away from NY.

Khama nae ilikua lugha?

Mnajua sio lazima utumie English ndo maana kuna watafasiri?

Viongozi wajue hakuna ulazima wakwenda huko. Hata angetumia laki moja hakuna mantiki.
 
Yes mkuu .
 
Kwahio sababu kuna Majambazi zaidi sisi tuendelee kuwa Wezi ?
 
Mimi nafikiri ungetupa gharama halisi aliyoitumia Rais Samia alipokwenda kwenye ziara UNGA.
Hilo ndo la maana, kuniambia Samia na msafara wake katumia 142m tu nakataa kabisa itakuwa zaidi naomba wajuzi wa mambo watupe, Nauli ya First class na Bussiness class. Tz to Usa.
 
Nasikia rais wa Zambia kaenda Marekani na watu watatu!!!
Mpumbavu huyo,zero brain,kwa kuwa kuna wajiga wengi.Kwani alienda UN kutembea au kuifanyia kazi kwa maslahi ya Zambia?Hivi human Resource ameifuta,ataeleweka kweli?
Huyo mbwa koko msubili after one year atakupa majibu tofauti.
 
Yani kuna mijitu ni mijinga,,asa huyo jao sijui joan anatuhusu nin waTZ
 
Kwani hizo alizotumia sio hela , mnajiaminiiiishaaaa , angalia hiyo delegation yake ni zaidi ya watu 20 ukiachilia mbali advanced team
Wafanya biashara walijilipia nauli. Usikurupuke kuandika vitu usivyovijua.

Advance party ni sehemu ya kazi za TISS na kila Rais anayo
 
Muongo huyo, hata Katiba ya sasa yenyewe haifuati, kutuzuia kufanya Siasa za majukwaani ni Udikteta.
Katafute pesa mtaani wachana na ujinga wa Siasa za majukwaa. Hizo ni za akina Mbowe na CCM, wanajuwana hao
 
Swala sio utajiri au umasikini,

Kwaakili Tanzania tunashindwa kugharamia safari ya UNGA kwa kiwango cha kifisadi?

Hoja hapa ni UZALENDO wa Mzalendo namba moja Samia Suluhu Hassan,

Ukisoma hiyo Source Watu wa Angola wanalalamika kama uchumi ni huo Why walalamike,

Tukubaliane kwa Sasa Africa, Mzalendo namba Moja ni SAMIA SULUHU HASSAN TU.
Umeishi nchi ngapi hapa Africa.
 
Why walalamike?

Kunakitu kinaitwa value for money,

Hata Marekani pamoja na utajiri wao wanayo,

Sembuse Angola?

Shida yenu kuficha Uzalendo wa Rais Samia tu,

Linganisha kwanza uchumi wa Tanzania na wa Angola kabla ya kusema chochote!! Angola ni tajiri sana kwa kulinganisha na Tanzania!! Kwa kukusaidia uliza gharama ya kumsafirisha rais wa marekani kwa kutumia air force one!! Uchumi ukiruhusu ni heshima na salama zaidi kwa rais kutembelea ndege ya binafsi!! Kwa uchumj wa Tanzania hilo haliwezekaniki!! Utakuwa ni ufisadi!!
 
Mpumbavu huyo,zero brain,kwa kuwa kuna wajiga wengi.Kwani alienda UN kutembea au kuifanyia kazi kwa maslahi ya Zambia?Hivi human Resource ameifuta,ataeleweka kweli?
Huyo mbwa koko msubili after one year atakupa majibu tofauti.
😍😍😍😍
 
Back
Top Bottom