sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Wanaume tunapozeeka tunarudi kuwa watoto,
Wanaume husema "men age like a wine" wakiamini kua kadri wanavyokua ndivyo wanakuwa na mvuto zaidi kwa kuwa wanajijenga kiuchumi, ila ukweli ni kuwa kadri mwanaume anavyokua ndio anakuwa na uhitaji wa ndoa zaidi( kuwa na mwanamke atakayemjali.)
Huwa watu wanawacheka single mother, lakini ukweli ni kuwa single mother akishakuza, basi anakula maisha. Kazi kwa mwanaume
Kwa mfano..
1. Mtoto wa kiume hawezi kumhudumia baba yake fully, coz ana familia na anabidi atoke akatafute.
2. Mtoto wa kike hawezi kumhudumia baba yake,
3. Kaka au mdogo wako wa kiume hawezi kukuhudumia.
4. Mdada wa kazi hawezi kuhudumia mwanaume (mzee) ipasavyo.
4. Ni rahisi bibi kuishi single na wajukuu au hata mwenyewe na maisha yakaenda kuliko babu
Kiumbe pekee anaeweza kukusaidia ni mke wako.
Mwanaume usisubiri uzeeke ndio uoe, utaleta mgogoro kwenye familia bure