Uzeeni mwanaume ana uhitaji wa ndoa zaidi kuliko mwanamke. Chukua hatua

Uzeeni mwanaume ana uhitaji wa ndoa zaidi kuliko mwanamke. Chukua hatua

Tafuta pesa zije zikutunze uzeeni

Acha kuwatwisha wanao mizigo.

Acha kuwatwisha Wanawake mzigo kisa ni mke wako.

Tafuta pesa ajiri wafanya kazi wakupikie, wakufanyie usafi nyumba Yako.

Nguo nunua washing machine.

Tengeneza mifereji ya pesa zije zikutunze usianze kulalamika Raia.

Ukitaka kuoa oa ila sio sababu ya kutaka kuwapa tabu kisa uzee wako.

Chukua achana na akili za kifala, za kimwinyi, za kimangimeza. Za kivivu.

Saka maokoto, TUNZA KIBUNDA CHAKO.
 
Hakikisha maisha yako ya uzeeni unayajenga ungali kijana, mwanamke ni mpitaji kwa mwanaume.

Nb: walio zeeka wanaelewa hii
 
Back
Top Bottom