Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,393
- 2,759
Naona labda wewe hujaelewa, nasio wewe tu bali ni wengi humu ndani hamjaelewa.Kuna ukweli katika hili. Sijawahi kutana na mbabu single ambaye yupo sawa psychologically. Mwisho wa siku "all we need is to be needed". Na watoto huwa ni mama, akiondoka anaondoka nao, akiwepo na wao wapo. So you can imagine how hard it can get if you find yourself lonely at late 60 huko. No energy, no partner to cuddle, no f*cking family! Only brick walls around you.
Kwaiyo wakulungwa, ni kweli wanawake wanazingua sana lakini we need them. It's Nature!
Watu wanaposema kataa ndoa haina maana ya kuwa single au usiishi na mwanamke ...
Nadhani mifano hiyo ipo na imetolewa humu mara nyingi tu na sio vyema kuirudia rudia .
Mfano Ronaldo hajaoa lakini anaishi na mwanamke na anawatoto.