Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa vijana ni kujiwekeza na kutoka kuishi vijijini na miji midogo inayokupresha kuoaTatizo mnaendekeza umama sana kifupi you are dick driven.
Ni hivi hawa wanawake ni wajanja sana kwa wanaume wapumbavu.
Tangia unapo muoa anakutenganisha wewe na marafiki, wewe na hobby zako, wewe na ndugu zako, yaani anahakikisha umebaki wewe kama wewe......na wewe ulivyo zoba unachekelea na kukenua mimeno ukisema my woman she loves me......men wewe ni boya. Huyo mwenzio anakufanyia hayo ili umtumikie fully usibakishe hata dakika. Ukisha maliza kumsomeshea watoto kumjengea na nguvu zimekuuisha na watoto wanajiweza basi biashara yako ndio imeishia hapo.
Huna marafiki, huna kijiwe cha kucheza bao na kuzuga taani ndugu zako ulisha kosana nao.,marafiki nao uliwakimbia sasa unabaki wewe na korodani zako.
Lkn ukikutana na mwanaume aliwajulia wanawake na michezo yao huji kumkuta analia lia na sijui stress sijui upweke nk....yeye akikaa na vijana burudani akikaa na wazee wenzie wanasema hajiheshimu , na mbususu mbichi na kali bado anaendelea kuzilamba ambazo hata vijana wanaziogopa
Acha ubishi vibabu vilikuwa vibishi kama wewe saizi vinataabika mtaani.Kibailojia mwanamke ndio mhitaji mkubwa wa ndoa kuliko mwanaume.
Adamu alikaa miaka mingi bila mwanamke
Mwanaume hata kwenye miaka 60 anaweza oa na kuzalisha watoto.
NIKIJIBU HOJA YAKO,
1.NCHI ZA MAGHARIBI ZOTE, UKIISHA ZEEKA UNAPELEKWA KWENYE VITUO VYA KULELEA WAZEE. HATA HAPA TANZANIA TAYARI VIPO.KUNA KITUO KIKUBWA SANA BAGAMOYO CHA DR.FROLENCE.
2.KUNA HOME NURSING (WAUGUZI WA KUJITEGEMEA WA MAJUMBANI)
#MWANAUME KATAA NDOA KUOKOA UHAI WAKO
KWAMBA TAABU NI ZA VIBABU TU? MBONA VIBIBI VINGI HAVIJAOLEWA ?WAO HAWAPATI TABU.Acha ubishi vibabu vilikuwa vibishi kama wewe saizi vinataabika mtaani.
Ningekuelewa kama ungetushauri tutafute hela maana hela ikiwepo hakosekani wa kukusaidia shughuli ndogondogo na "kubwa"Wanaume tunapozeheka tunarudi kuwa watoto,
Wanaume husema " men age like a wine" wakiamini kua kadri wanavyokua ndivyo wanakuwa na mvuto zaidi kwa kuwa wanajijenga kiuchumi, ila ukweli ni kuwa kadri mwanaume anavyokua ndio anakuwa na uhitaji wa ndoa zaidi( kuwa na mwanamke atakayemjali.)
Huwa watu wanawacheka single mother, lakini ukweli ni kuwa single mother akishakuza, basi anakula maisha. Kazi kwa mwanaume
Kwa mfano..
1. Mtoto wa kiume hawezi kumhudumia baba yake fully, coz ana familia na anabidi atoke akatafute.
2. Mtoto wa kike hawezi kumhudumia baba yake,
3. Kaka au mdogo wako wa kiume hawezi kukuhudumia.
4. Mdada wa kazi hawezi kuhudumia mwanaume (mzee) ipasavyo.
4. Ni rahisi bibi kuishi single na wajukuu au hata mwenyewe na maisha yakaenda kuliko babu
Kiumbe pekee anaeweza kukusaidia ni mke wako.
Mwanaume usisubiri uzeeke ndio uoe, utaleta mgogoro kwenye familia bure
Nakazia: Ukitaka hata huo uzee usiufikie...oa.Unaweza kuzaa na usioe, ndoa ni hatari kwa afya kabla hata ya kufikia uzee. Chukua hatua.
👇🏾☝🏾No research no right to speak
Hivi kuna wakati hizo replies huwa zinajibiwa ipasavyo au inakuwaje maana 😂😂😂😆!Kwa wote
mkuu usiseme sana. Babu yako bado ana nguvu na pia hana changamoto za kiafya. Muda ni muamuzi mzuri. Itafika wakati huyo babu atamkumbuka mkewe licha ya ugomvi wao wa mara kwa mara. Tena hivi umesema watoto na wajukuu kila mtu anaendelea na yake...siku moja mtakuta amejivutia kabinti tena ameoa kabisa ndio utajua naongea nini.Uwongoo..
siku hizi mwanamke ukiwa mzee anakusaidia ufe mapema atawale miradi...
Mimi binafsi babu yangu alikuwa mwalimu na alistaafa 1996..
bibi yangu alikufa kitambo ila babu yangu babu anaonekana kama si mzee kabisa na anaishi pekee yake anapika mwenyewe na kazi ndogo ndogo za hapo kwake na nguo anamashine yake ya kufua licha ya kwangu ana watoto 9 wa kuzaa lakini kila mtoto anapambana na hali yake na wamesambaa na wengine ni wagonjwa, sisi wajukuu hatuna msaada sana kwake tunapambana na hali zetu kifupi hatutegemei hata kidogo...
Kipindi bibi yupo kuliko na magomvi sana hapo kwa babu..
hivyo usiwe na wazo hilo eti ndoa ni muhimu mzeeni
Ukishaishi na mwanamke miaka 5 kama sikosei na kukawa na uthibitisho huo, huyo ni mkeo.Naona labda wewe hujaelewa, nasio wewe tu bali ni wengi humu ndani hamjaelewa.
Watu wanaposema kataa ndoa haina maana ya kuwa single au usiishi na mwanamke ...
Nadhani mifano hiyo ipo na imetolewa humu mara nyingi tu na sio vyema kuirudia rudia .
Mfano Ronaldo hajaoa lakini anaishi na mwanamke na anawatoto.
Kwani ndoa ni nn?Kwani haiwezekani kuishi na mwanamke bila ndoa? [emoji16][emoji16]
Vyovyote vile kuwa na ndoa hakumaanishi utakuwa na uzee mzuri..mkuu usiseme sana. Babu yako bado ana nguvu na pia hana changamoto za kiafya. Muda ni muamuzi mzuri. Itafika wakati huyo babu atamkumbuka mkewe licha ya ugomvi wao wa mara kwa mara. Tena hivi umesema watoto na wajukuu kila mtu anaendelea na yake...siku moja mtakuta amejivutia kabinti tena ameoa kabisa ndio utajua naongea nini.
Ni muungano kati ya mwanamke na mwanaume kama mume na mke kuishi pamoja muda wote wa maisha yao.Kwani ndoa ni nn?
Ni makubaliano ya mwanamke na mwanamume kuishi pamoja na kushirikiana katika mambo ya kijamii na kiuchumi.Ni muungano kati ya mwanamke na mwanaume kama mume na mke kuishi pamoja muda wote wa maisha yao.
Una nyumba yako, una mali zako, una mke anayekujali kwann uopt kwenda kwenye nyumba za wazee?Kibailojia mwanamke ndio mhitaji mkubwa wa ndoa kuliko mwanaume.
Adamu alikaa miaka mingi bila mwanamke
Mwanaume hata kwenye miaka 60 anaweza oa na kuzalisha watoto.
NIKIJIBU HOJA YAKO,
1.NCHI ZA MAGHARIBI ZOTE, UKIISHA ZEEKA UNAPELEKWA KWENYE VITUO VYA KULELEA WAZEE. HATA HAPA TANZANIA TAYARI VIPO.KUNA KITUO KIKUBWA SANA BAGAMOYO CHA DR.FROLENCE.
2.KUNA HOME NURSING (WAUGUZI WA KUJITEGEMEA WA MAJUMBANI)
#MWANAUME KATAA NDOA KUOKOA UHAI WAKO
Mkuu una dada wengi au watoto wengi wa kike.....? [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nashangaa kijana unavyokomaa huku jamvini kataa ndoa! kataa ndoa! unataka uolewe wewe? But at the same time unasema bora kupiga mademu mtaani. Very Stupid!
Akili za hivi ndio zimefanya wanawake wengi watelekezewe watoto mtaani halafu mnaona haitoshi mnakuja tena na nyuzi za kataa single mothers, ili iweje? Too much hate kwa wanawake for what? Unasahau kwamba wengi wenu mlilelewa na wazazi wote wawili mpaka mkafika hapo mlipo na huenda mngekuwa na hali mbaya sana kama mnachokishauri huku jamiiforums kingewakuta, bloody fools!
Lakini the good thing ni kwamba maisha yana namna yake ya kuzungusha sahani kila mtu aonje alipoonja mwenzake. Think of 20 years to come kama ideaz zenu zitafanya kazi. It means vijana wengi wa kipindi hicho watakua walilelewa na single parent (mama). Unadhani watakua na ideas gani? Mitazamo gani kuhusu familia? Unadhani agenda zao zitakua na manufaa kwa jamii zetu kwa wakati huo?
UONGO.Unasahau kwamba wengi wenu mlilelewa na wazazi wote wawili.