Tafuta pesa zije zikutunze uzeeni
Acha kuwatwisha wanao mizigo.
Acha kuwatwisha Wanawake mzigo kisa ni mke wako.
Tafuta pesa ajiri wafanya kazi wakupikie, wakufanyie usafi nyumba Yako.
Nguo nunua washing machine.
Tengeneza mifereji ya pesa zije zikutunze usianze kulalamika Raia.
Ukitaka kuoa oa ila sio sababu ya kutaka kuwapa tabu kisa uzee wako.
Chukua achana na akili za kifala, za kimwinyi, za kimangimeza. Za kivivu.
Saka maokoto, TUNZA KIBUNDA CHAKO.