DOKEZO Uzembe wa Hospitali Kuu ya Mkoa Morogoro umesababisha kifo cha Mwanafunzi wa SUA

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hivi ni kweli kwamba mlikosa laki nane wanachuo wote kuchangishana tu mlishindwa jamani
Za nini? Hio hospitali si ni ya Umma? kwa nini haki za msingi za mtu mnataka zipatikake kwa kupiga magoti? Nchi ina wajinga sana hii,
 
madaktari na aliyekuwepo alikuwa anawafanyia upasuaji mama wajawazito,dont be judgemental kazini,mjamzito ni first priority
Kidding? Two days mama waja wazito wanafanyiwa upasuaji?
 
Kwan hapo uliambiwa shida ni malipo au upatikanaji wa mhudum soma kwa makini acha kutumia mihemko mkuu
Nb kabla hujakoment angalia chet chako cha form four
 
Mama yake hawezi kuumia maana inaonekana kuna shortage ya madaktari na aliyekuwepo alikuwa anawafanyia upasuaji mama wajawazito,dont be judgemental kazini,mjamzito ni first priority
Mama yake atakuwa na shida ya kutojari kwanini hakumkimbiza hoospital za private.
 
Za nini? Hio hospitali si ni ya Umma? kwa nini haki za msingi za mtu mnataka zipatikake kwa kupiga magoti? Nchi ina wajinga sana hii,
Acha kubwabwaja umesema mlikuwa hosp x ambako gharama zilikuwa juu yaani laki 8 Kwa kuwa hamkuweza kuzimudu mkapewa ambulance ili mumpeleke hosp ya mkoa
Ndiyo nikakuuliza mlishindwa kuchanga? Akafanyiwa hapo?

Hata kama ni hosp ya serikali lazima mchangie kama Hana Bima

Tatizo watanzania tunapenda dezo sana

Na hii itaendelea kusababisha matatizo daili
 
Kwanza pole kwa familia. Kuna watu hawataona uhusiano wa CCM na serikali yake na hili tukio lakini ukweli ni kuwa vina uhusiano. Tunarudi pale pale, utasema mimi sihusiki na siasa lakini madhara ya uongozi mbovu yanatupata wote.
Unaiondowaje ccm na kifo hiki? Hii si ndio furaha ya maccm?

Maccm yanatamani wote tufe wabaki wenyewe watafune nchi bila kelele.
 
Mama yake hawezi kuumia maana inaonekana kuna shortage ya madaktari na aliyekuwepo alikuwa anawafanyia upasuaji mama wajawazito,dont be judgemental kazini,mjamzito ni first priority
Nimeogopa kupigwa ban
 
Kuna mwanafunzi wa University hana NHIF? Au umeamuwa kujamba tu na kutowa uharo wako?
 
Ngoja wachunguze unaweza kusikia madaktari wengine wapo likizo ....Hii ndio bongo na daktari anataka muda wa kupumzika
Ni binadamu pia lazima apumzike ili aweze kutoa huduma kwa ufanisi cha muhimu ni serikali kuajiri madaktari wakutosha ili zamu zikae vizuri.
 
Huko vijijini angeenda dispensary akaambiwa ana vidonda vya tumbo, atapewa dawa ambazo sitambar unafuu Ila baada ya siku tatu mbili , ataangukia mitishamba na story inaishia hapo.
Sema Bongo swala la afya tunalichulia poa sana aise.Jamaa alikuwa anamaliza Chuo na hii imeenda ukishambiwa ni "yalikuwa mapenzi ya Mungu" hakuna mtu atataka kutafutwe solution ya kudumu tena. Nilionaga pia case ya vifo vya watoto pia, inasikitisha sana.
 

Attachments

  • 20240705_202749.jpg
    124.9 KB · Views: 1
May he rest in peace
 
Mpaka hapa sijaona uzembe uliofanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…