Uzi gani wa JF ulikuvutia na unatamani kila mtu apate nafasi ya kuusoma

Cc INSIDER MAN
 
Ule uzi unasema watu tuliowai kupata pesa nakufilisika tukutane hapa.

Ule uzi kwa kijana yoyote anaejitafta ni muhimu sana kuhusoma ule uzi watu wametema sana madini mle kuna watu walishika mpka billion lakini ziliyeyuka.
 

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Uzi wa ephen akiwa jeshini ndio uzi wangu bora wa muda wote.

Nakupenda sana ephen wangu sijuwi upo wapi kwa sasa.

ephen njoo huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ