Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Ahahahahahahahahahahah kumbe naomba ushauri kwa mwamba mwenyewe kudaaadekii 🤣🤣🤣🤣Hiki ni chombo cha Gily , the super vilain. Unataka kuniibia tunda langu mchana kweup 😀 mchukue mtalaka wangu Leejay49 bure kabisa😀 acha kuingilia mapenzi ya watuView attachment 2603414
Mama yake nani🤣🤣🤣🤣 wew umezaa lini?Mama
Mama yake Manka na Kitomari 🥰Mama yake nani🤣🤣🤣🤣 wew umezaa lini?
Ivan Stepanov wanao hao manka na kitomari🤣 hongera kwa kipata shangazi. Hawa wanakuw na ziwa la moto sana😀Mama yake Manka na Kitomari 🥰
Long time agooo, mie sio mdogo.
Depal unayasikia haya?Ivan Stepanov wanao hao manka na kitomari🤣 hongera kwa kipata shangazi. Hawa wanakuw na ziwa la moto sana😀
Usijali mimi natunza tu hao akina Manka na kitomari..napeleka turkey huko wakasome we tu enjoy kama vpi.... na kazi serikalin nakuachisha uje usimamie kampuni zangu..hapo vipi?Ghafla sana 🤣
Watu wa Dar wana maneno mengi mtani GilyUsijali mimi natunza tu hao akina Manka na kitomari..napeleka turkey huko wakasome we tu enjoy kama vpi.... na kazi serikalin nakuachisha uje usimamie kampuni zangu..hapo vipi?
Huku asali sio ya kulama ..ipo ya kunywa kabisaaa.. nina mizinga kabisa ya nyuki so hata ukitaka ile asali freshi toka kwenye masega kabisa i can provide.. chap basi...
hiii asali mbona kama chungu😬😬😬
kibwengo mtaka vitu😅🙄,Kibwego mtaka vitu
Ngoja uone jinsi utakavyokaangw na Binadamu Mtakatifu 🤣🤣🤣 wanadai shemeji yao ulikuw unawakataa ukiwa na brotherrii waojamani, nishakua jini tena😅😅🙄
eti bure 😏😅😅😅🙌🏼Hiki ni chombo cha Gily , the super vilain. Unataka kuniibia tunda langu mchana kweup 😀 mchukue mtalaka wangu Leejay49 bure kabisa😀 acha kuingilia mapenzi ya watuView attachment 2603414
muongo tu huyo 🤣🤣Ngoja uone jinsi utakavyokaangw na Binadamu Mtakatifu 🤣🤣🤣 wanadai shemeji yao ulikuw unawakataa ukiwa na brotherrii wao
Ni chungu sanaahiii asali mbona kama chungu😬😬😬