๐๐Nakazia mno, sana, kabisa, vilivyo.
Umenena.Ndugu yangu...ukitaka uchunde mweke ex moyoni....hata ndoa yako haitakuwa nzuri.Mtu stahiki kupendwa ni yule uliyenaye muda huu
๐Umenena.
๐๐พ Kiwemba, bemba. ๐ฅNi kiwemba hiki ee?
Basi umeniumbua mapema mno๐๐ enhe endelea
Woow! Umeishi Zambia? Au ni mzambia?๐๐พ Kiwemba, bemba. ๐ฅ
Enhee,haya sawa....subiri utongozwe pm....watu humu tunaogopana.... wanaume wengi hudhani I'D zote ni madume....kukugongea pm utasubiri sana....umempenda mchane live....kwani nini mbaya?!Sio kwenye jumuiya namna hii usinidanganye nawewe sasa๐
Yani unavutwa shati kidogo unakimbia? Kazi ipoBasi umeniumbua mapema mno๐
Hapana, sijaishi Zambia. Mimi ni Mtanzania.Woow! Umeishi Zambia? Au ni mzambia?
Okay,nimekupataHapana, sijaishi Zambia. Mimi ni Mtanzania.
Hatahivyo Nimeendesha sana magari kwenda mpakani kutoka hapa Bandarini.
pm nimefunga ,wanaume wa jf ni wajuaji sana utafkir sio hawa wa mtaani,,nikitaka dume ntavaa mini na crop top uuuyoooo kwenye vi pub najitegesha apo,,mm hutongoza kwa style io๐๐Enhee,haya sawa....subiri utongozwe pm....watu humu tunaogopana.... wanaume wengi hudhani I'D zote ni madume....kukugongea pm utasubiri sana....umempenda mchane live....kwani nini mbaya?!
apo umevuta na kunikaba koo kabisa aseeeeYani unavutwa shati kidogo unakimbia? Kazi ipo
๐คฃ๐คฃ๐คฃHiyo imenyooka aiseepm nimefunga ,wanaume wa jf ni wajuaji sana utafkir sio hawa wa mtaani,,nikitaka dume ntavaa mini na crop top uuuyoooo kwenye vi pub najitegesha apo,,mm hutongoza kwa style io๐๐
mimi ni wa body language,,habar ya kujieleza ad mtu akuelewe sio mchezo๐๐๐พ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃHiyo imenyooka aisee
๐คฃ๐คฃ๐คฃโค๏ธ Mi nakuchana aisee,mpaka utang'ata ukucha๐คจmimi ni wa body language,,habar ya kujieleza ad mtu akuelewe sio mchezo๐๐๐พ๐
hapa umedanganya,najua ni harakati za kumtetea kijana Half american ili nishushe nyuzi zaidi๐๐๐๐พ๐คฃ๐คฃ๐คฃโค๏ธ Mi nakuchana aisee,mpaka utang'ata ukucha๐คจ
Yupo single huyo,mkamatie aiseehapa umedanganya,najua ni harakati za kumtetea kijana Half american ili nishushe nyuzi zaidi๐๐๐๐พ
๐๐ฟOkay,nimekupata