Uzi kwa ajili ya mtu uliyempenda na bado unampenda lakini aliondoka ghafla katika ukaribu wenu

Uzi kwa ajili ya mtu uliyempenda na bado unampenda lakini aliondoka ghafla katika ukaribu wenu

kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa nampenda sana anaitwa bertha joel mtoto wa tabora uyu

mtoto mweupe kama mzungu sema nini mtoto nilikuwa simwamini ata kidogo inaonesha kabisa ana nafsi nyingi sana

nikiwa na maana anaonesha katembea na wanaume wengi pia alikuwa anaonesha yupo na wanaume kadhaa na mimi nikiwepo

ila tulikuwa safi tu.nimewahi ishi mara kadhaa

na wala alikuwa aniombi hela kwao mambo safi

baadae nikaona apa najitengeneza maumivu nikaona nipige chini tu

anaendelea na maisha yake na mimi naendelea na yangu ila bado nampenda ila siwezi kuwa naye wala simtaki kimapenzi tena

#bee
 
Sio kwenye jumuiya namna hii usinidanganye nawewe sasa😆
Enhee,haya sawa....subiri utongozwe pm....watu humu tunaogopana.... wanaume wengi hudhani I'D zote ni madume....kukugongea pm utasubiri sana....umempenda mchane live....kwani nini mbaya?!
 
Enhee,haya sawa....subiri utongozwe pm....watu humu tunaogopana.... wanaume wengi hudhani I'D zote ni madume....kukugongea pm utasubiri sana....umempenda mchane live....kwani nini mbaya?!
pm nimefunga ,wanaume wa jf ni wajuaji sana utafkir sio hawa wa mtaani,,nikitaka dume ntavaa mini na crop top uuuyoooo kwenye vi pub najitegesha apo,,mm hutongoza kwa style io😂😂
 
pm nimefunga ,wanaume wa jf ni wajuaji sana utafkir sio hawa wa mtaani,,nikitaka dume ntavaa mini na crop top uuuyoooo kwenye vi pub najitegesha apo,,mm hutongoza kwa style io😂😂
🤣🤣🤣Hiyo imenyooka aisee
 
Back
Top Bottom