To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😘😘Nakazia mno, sana, kabisa, vilivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😘😘Nakazia mno, sana, kabisa, vilivyo.
Umenena.Ndugu yangu...ukitaka uchunde mweke ex moyoni....hata ndoa yako haitakuwa nzuri.Mtu stahiki kupendwa ni yule uliyenaye muda huu
😊Umenena.
👌🏾 Kiwemba, bemba. 🔥Ni kiwemba hiki ee?
Basi umeniumbua mapema mno😂😂 enhe endelea
Woow! Umeishi Zambia? Au ni mzambia?👌🏾 Kiwemba, bemba. 🔥
Enhee,haya sawa....subiri utongozwe pm....watu humu tunaogopana.... wanaume wengi hudhani I'D zote ni madume....kukugongea pm utasubiri sana....umempenda mchane live....kwani nini mbaya?!Sio kwenye jumuiya namna hii usinidanganye nawewe sasa😆
Yani unavutwa shati kidogo unakimbia? Kazi ipoBasi umeniumbua mapema mno😂
Hapana, sijaishi Zambia. Mimi ni Mtanzania.Woow! Umeishi Zambia? Au ni mzambia?
Okay,nimekupataHapana, sijaishi Zambia. Mimi ni Mtanzania.
Hatahivyo Nimeendesha sana magari kwenda mpakani kutoka hapa Bandarini.
pm nimefunga ,wanaume wa jf ni wajuaji sana utafkir sio hawa wa mtaani,,nikitaka dume ntavaa mini na crop top uuuyoooo kwenye vi pub najitegesha apo,,mm hutongoza kwa style io😂😂Enhee,haya sawa....subiri utongozwe pm....watu humu tunaogopana.... wanaume wengi hudhani I'D zote ni madume....kukugongea pm utasubiri sana....umempenda mchane live....kwani nini mbaya?!
apo umevuta na kunikaba koo kabisa aseeeeYani unavutwa shati kidogo unakimbia? Kazi ipo
🤣🤣🤣Hiyo imenyooka aiseepm nimefunga ,wanaume wa jf ni wajuaji sana utafkir sio hawa wa mtaani,,nikitaka dume ntavaa mini na crop top uuuyoooo kwenye vi pub najitegesha apo,,mm hutongoza kwa style io😂😂
mimi ni wa body language,,habar ya kujieleza ad mtu akuelewe sio mchezo😂🙌🏾😂🤣🤣🤣Hiyo imenyooka aisee
🤣🤣🤣❤️ Mi nakuchana aisee,mpaka utang'ata ukucha🤨mimi ni wa body language,,habar ya kujieleza ad mtu akuelewe sio mchezo😂🙌🏾😂
hapa umedanganya,najua ni harakati za kumtetea kijana Half american ili nishushe nyuzi zaidi😂😂🙌🏾🤣🤣🤣❤️ Mi nakuchana aisee,mpaka utang'ata ukucha🤨
Yupo single huyo,mkamatie aiseehapa umedanganya,najua ni harakati za kumtetea kijana Half american ili nishushe nyuzi zaidi😂😂🙌🏾
🙏🏿Okay,nimekupata