A Peculiar people
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 612
- 773
Sio kufundishwa.. Ni kweli nimezaliwa katika ukristo tena mkatoliki ila imepita miaka ishirini na kitu nikawa sijaelewa hata ukristo wenyewe ni nini.. naenda kanisani nikaokoka bado nikawa sijaelewa ni nini.. Mpaka pale nilipopata right doctrine ndio nikaelewa ninachoamini.. UKRISTO SIO DINI.. Ukristo ni kiwa embodied na kristo.. kuna somo hapo la mwili nafasi na roho..Bado unaongea nadharia za kikristo ulizo fundishwa kanisan. Lakin hujathibitisha uwepo wa Mungu
Mungu hayupo, yupo kwenye mawazo Yako tu, nje ya hapo huwez kumthibitisha. Ndo maana umeshindwa kunionesha nimuoneIla si Mungu yupo?
haya mkuuMungu hayupo, yupo kwenye mawazo Yako tu, nje ya hapo huwez kumthibitisha. Ndo maana umeshindwa kunionesha nimuone
Akili ipo wapi, nani ameiyona na kuthibitisha uwepo wake? Inakaa wapi? Inapimwa kwa vipimo gani?A
Akili unaweza kuipima, hata hospital unaweza kuipima akili, sababu ni kitu ambacho kipo.
Ila Mungu hayupo, sababu hajawah kuonekana, kuskika Wala kujitokeza popote.
Sawa kaka, kama umeamua kuamini Mungu yupo, inabaki kuwa Imani, na Mimi naheshmu Hilo.Sio kufundishwa.. Ni kweli nimezaliwa katika ukristo tena mkatoliki ila imepita miaka ishirini na kitu nikawa sijaelewa hata ukristo wenyewe ni nini.. naenda kanisani nikaokoka bado nikawa sijaelewa ni nini.. Mpaka pale nilipopata right doctrine ndio nikaelewa ninachoamini.. UKRISTO SIO DINI.. Ukristo ni kiwa embodied na kristo.. kuna somo hapo la mwili nafasi na roho..
Akili inapimika, kama unabisha naenda hospital uone watu wanavopimwa akiliAkili ipo wapi, nani ameiyona na kuthibitisha uwepo wake? Inakaa wapi? Inapimwa kwa vipimo gani?
Bado nakataa. Tena sio mimi tu hata hao wanasayansi wenyewe wanakwambia bado hakuna kipimo cha uhakika cha kupima umri chenye accuracy ya 100%.Kwa asilimia mbili tu kati ya mia ndo inaweza ikawa sio accurate, napo n mara chache sana.
Lakini Kuna njia nyingine za kupima umri wa vtu kama vile RADIOMETRIC DATING METHOD.
Akili inakaa wapi? Umeshawahi kuiona?Akili inapimika, kama unabisha naenda hospital uone watu wanavopimwa akili
Ukijua Mungu anakutazamaje.. ukiujua upendo wa Mungu kwetu ni vigumu kufanya ambalo sio sahihi..Sawa kaka, kama umeamua kuamini Mungu yupo, inabaki kuwa Imani, na Mimi naheshmu Hilo.
Ila watu mnaomini msilitumie jina la Mungu Bure, kama amri yake inavosema.
Wengine watasema Mungu hakupendi, kumbe yeye ndo hampendi mtu, au " Mungu amesema nikuue nichukue hii Ardhi" Kumbe ni yy ndo anaitaka iyo Ardhi.
Ko msilitumie au kutaja jina la Mungu Bure.
Mkifanya kitu fanyeni nyie kama nyie msiseme mmetumwa na Mungu wakati sio kweli.
Kuamini ni tofauti na kujua.kumbe una amini kwenye uwepo wa extra-ordinary power.
Ninyi Theists hamjui hata hicho mnacho kiamini ni nini?Hongera !, sasa upo one step away kuja kwenye concept yetu sisi Theists !
Ukomo wa kufikiriki ni nini?Ifanyike ba
Tangu nianze kuona hoja zako jambo ambalo nimebaini ni tatizo kwako, ni ukomo wako wa kufikiri,
Ukomo wako wa kufikiria ndio unaokupa mateso chief
We mbona unakisia Mungu yupo wakati hujawah kumuona Wala kumsikia, umejuaje yupo?Bado nakataa. Tena sio mimi tu hata hao wanasayansi wenyewe wanakwambia bado hakuna kipimo cha uhakika cha kupima umri chenye accuracy ya 100%.
Hata hiyo Radiometric dating method ambayo wanatumia madini ya uranium ina makosa mengi tu.
Wanachofanya wanasayansi baada ya kupima age ya kitu fulani kwa kutumia mojawapo ya hizo methods, pia wanaweka "makisio" yao wenyewe.
Ukishaanza kukisia kitu basi faiamu hapo hakuna "accuracy".
Hizo ni nadharia tu, lakini hakuna Mungu popote pale, ila kama umeamua kuamini tu sawaUkijua Mungu anakutazamaje.. ukiujua upendo wa Mungu kwetu ni vigumu kufanya ambalo sio sahihi..
Ndo maana nimekwambia akili inapimika, ndio maana mtu anaweza pimwa kama ana akili au Hana akili.Akili inakaa wapi? Umeshawahi kuiona?
Hata Mungu pia ana ishara zake, mojawapo ni hiyo akili aliyotupa ili kuweza kuchanganua mambo na kuishi kwa utaratibu maalum wa kufikiri na kufanya maamuziNdo maana nimekwambia akili inapimika, ndio maana mtu anaweza pimwa kama ana akili au Hana akili.
Na Kuna watu wanasoma Ili kuwahudumia watu wenye changamoto ya akili.
kwaiyo kwa mantiki hiyo Dunia ni extra ordinary powerKuamini ni tofauti na kujua.
Mimi siamini bali najua Dunia ndio extraordinary power yenyewe.
Ninyi Theists hamjui hata hicho mnacho kiamini ni nini?
Hakuna Mungu aliyetupa akili, kwanza mthibitishe kwamba yupo, nimuone. Ndo useme ametupa akili.Hata Mungu pia ana ishara zake, mojawapo ni hiyo akili aliyotupa ili kuweza kuchanganua mambo na kuishi kwa utaratibu maalum wa kufikiri na kufanya maamuzi
Siwezi kukuonesha kwani hajanipa uwezo wa kutambua physical appearance yake. Na wewe nioneshe akili ipo wapiHakuna Mungu aliyetupa akili, kwanza mthibitishe kwamba yupo, nimuone. Ndo useme ametupa akili.
Dini ni nini?
Philosophy ni nini?
Ipo kule uliposema umejibu na ukweli ni kuwa haujajibu.Hoja yako ipi ili tukusaidie