Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Nature ndio extra ordinary power.kwaiyo kwa mantiki hiyo Dunia ni extra ordinary power
Jupiter ni Extra ordinary power
Jua ni extraordinary power
Mwezi ni Extraordinary power etc
Hapo unanithibitishia kuwa hayupo, ndo maana umeshindwa kunionesha uyo Mungu.Siwezi kukuonesha kwani hajanipa uwezo wa kutambua physical appearance yake. Na wewe nioneshe akili ipo wapi
Tukipasua kichwa tunaweza kuiona?Hapo unanithibitishia kuwa hayupo, ndo maana umeshindwa kunionesha uyo Mungu.
Akili Ipo kichwani kaka.
Tunaweza kuipima, nikikupeleka hospitali Wana weza kukupima, na wakakupa majibu kama una akili au hauna. Ila najua itaonekana una akili, ila kwa wengne waliopoteza akili zao itaonekana hawana akiliTukipasua kichwa tunaweza kuiona?
Umesema ipo kichwani, nani amewahi kuiona na ina sura au umbo gani?Tunaweza kuipima, nikikupeleka hospitali Wana weza kukupima, na wakakupa majibu kama una akili au hauna. Ila najua itaonekana una akili, ila kwa wengne waliopoteza akili zao itaonekana hawanana akili
Hapo unanithibitishia kuwa hayupo, ndo maana umeshindwa kunionesha uyo Mungu.
Akili Ipo kichwani kaka.
Nature
Nature ndio extra ordinary power.
Na kila kitu ni part ya hiyo Nature.
Mwanzo ulisema Dunia ni extraordinary Power,Nature ndio extra ordinary power.
Na kila kitu ni part ya hiyo Nature.
Ndo maana nimekwambia, akili inathibitika, sababu nikitu kinachoweza kupimwa, na kikagindulika kipo au hakipo.Umesema ipo kichwani, nani amewahi kuiona na ina sura au umbo gani?
Ndio maana nilikwambia extra ordinary power ni nature.Mwanzo ulisema Dunia ni extraordinary Power,
saivi umesema Nature ndo extraordinary power
vyema ! unazidi kuja kwenye concept yetu !
Em tueleze Nature ndo nini, isije kua ina maana hiyo hiyo ya Theists tuyayo refer kwa jina lingine Mungu
mimi binafsi natumiaga neno Nature ku refer hiyo Extraordinary power mfano: kuna reply flani huko juu nimesema
"hili bandiko limekua powered by Nature...."
kwaiyo according to maelezo yako hapo juu umekiri Tayari kwamba Nature ndo extraordinary power.
na umesema kilakitu kipo kwenye Nature, kwaiyo Extraordinary power ambayo ndo Nature ndo ina control vyote.
kwiyo ku summarize, unaamini uwepo wa extra-ordinary power ambayo ni nature na vitu vyote vipo kwenye nature na vinakua controled by nature.
kwa mantiki hiyo umeingia rasmi kwenye Concept ya Theist
reply yako nita i screenshot kabisa ili usije ukaiedit.
Mungu ni Jina rasmi linalotumika kwenye Lugha ya kiswahili, kila lugha ina jina lake,Ndio maana nilikwambia extra ordinary power ni nature.
Ulichofanya wewe nikubalisha jina tu na kuiita hiyo nature Mungu.
That's why nilisema hapo juu Mungu ni jina tu.
Mungu pia anathibitika, na ishara yeke ya kwanza ni uwepo wako wewe hapa dunianiNdo maana nimekwambia, akili inathibitika, sababu nikitu kinachoweza kupimwa, na kikagindulika kipo au hakipo.
Lakini Mungu hawez kuthibitishwa hata siku Moja, kwa sababu hayupo
Ndio maana nilikwambia extra ordinary power ni nature.Mwanzo ulisema Dunia ni extraordinary Power,
saivi umesema Nature ndo extraordinary power
vyema ! unazidi kuja kwenye concept yetu !
Em tueleze Nature ndo nini, isije kua ina maana hiyo hiyo ya Theists tuyayo refer kwa jina lingine Mungu
mimi binafsi natumiaga neno Nature ku refer hiyo Extraordinary power mfano: kuna reply flani huko juu nimesema
"hili bandiko limekua powered by Nature...."
kwaiyo according to maelezo yako hapo juu umekiri Tayari kwamba Nature ndo extraordinary power.
na umesema kilakitu kipo kwenye Nature, kwaiyo Extraordinary power ambayo ndo Nature ndo ina control vyote.
kwiyo ku summarize, unaamini uwepo wa extra-ordinary power ambayo ni nature na vitu vyote vipo kwenye nature na vinakua controled by nature.
kwa mantiki hiyo umeingia rasmi kwenye Concept ya Theist
reply yako nita i screenshot kabisa ili usije ukaiedit.
Pia hapohapo utakuwa umekubaliana na uwepo wa "Nature" regardless ya jina gani unalotumia kuiita hiyo nature.Mungu ni Jina rasmi linalotumika kwenye Lugha ya kiswahili, kila lugha ina jina lake,
ila theists wote wanalenga kitukimoja
licha ya majina kutofautiana kutokana na Lugha
we believe in Extraordinary power, highest power above all, the source of everything.
Mungu, Allah, God
na majina yote unayoweza kuita kutokana na Lugha,
kwaiyo ukikubaliana na uwepo wa hii power automatically umekubaliana na uwepo wa Mungu,
mbali na hapo ni majina tu ambayo hilo ni swala la Lugha.
Uwepo wangu Mimi unamthibitishaje Mungu Sasa?Mungu pia anathibitika, na ishara yeke ya kwanza ni uwepo wako wewe hapa duniani
Hakuna aliyewahi kumuona Mungu, kama ilivyo hakuna aliyewahi kuiona AkiliUwepo wangu Mimi unamthibitishaje Mungu Sasa?
Nimekwambia nioneshe Mungu, umeshindwa.
Ni vizuri ukaweka na source ambayo ni reliable ulipotoa hiyo tafsiri yako ili kuepusha utata huko mbeleni.Dini ni njia.
Akili unaweza kuipima, je Mungu unaweza kumthibitisha vipi?Hakuna aliyewahi kumuona Mungu, kama ilivyo hakuna aliyewahi kuiona Akili
Hakuna aliyewahi kumuona, na hakuna atakaekuja kumuona kwa sababu hayupo.. Sasa nyie watu wa dini izo Sheria zake mnazolazmisha tuzifate mmezitoa wapi?Hakuna aliyewahi kumuona Mungu, kama ilivyo hakuna aliyewahi kuiona Akili
Hakuna aliye lazimisha kufuata sheria za Mungu, kama huamini uwepo wake ni maamuzi yako na una haki ya kuchagua bila kulazimishwaHakuna aliyewahi kumuona, na hakuna atakaekuja kumuona kwa sababu hayupo.. Sasa nyie watu wa dini izo Sheria zake mnazolazmisha tuzifate mmezitoa wapi?
Duh, ko we umeamua kuamini Mungu yupo bila ushahidi... Anyway dini Yako itumie vizuri usiwaumize watu kisa dini.Hakuna aliye lazimisha kufuata sheria za Mungu, kama huamini uwepo wake ni maamuzi yako na una haki ya kuchagua bila kulazimishwa
Mkuu naumiza watu kivipi? Au wewe ndyo unaumia kuona watu wanaamini uwepo wa MunguDuh, ko we umeamua kuamini Mungu yupo bila ushahidi... Anyway dini Yako itumie vizuri usiwaumize watu kisa dini.
Namaanisha, Kuna wanaoamini, wanaweza kumchinja mtu na kusema wametumwa na Mungu kufanya Ivo, au wakajilipua... Kwa wakristo mnafurahia wapalestina wakiuawa huwa mnamaanisha nini?Mkuu naumiza watu kivipi? Au wewe ndyo unaumia kuona watu wanaamini uwepo wa Mungu