Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Na Mungu yeye aliumbwa na nani?
 
kwani nimeongelea kitu chochote kuhusiana na Dini yoyote ?

pia mimi sijaja kuthibitisha,
nimekuja kuwaonyesha nini kipo nyuma ya akili yenu hadi mnakuja na conclusion kwamba Mungu hayupo.
Mungu yupo kwenye akili Yako tu mkuu, nje ya hapo hawez thibitishwa
 
ita gongwa lini, mbona incident zote ambazo zingeleta madhara makubwa hazijatokea, kitu gani kinacho sort
Siwezi jua, ila sababu Dunia itaendelea kuwepo milele, hata kama ss binadamu tutajiangamiza wenyewe, either kwa nyuklia n.k... Ila asilimia zipo kubwa za asteroids kuigonga Dunia mbeleni
 
sijaongelea imani yoyote nimeonge lea uwepo wa Mungu,

Uislam na Ukristo unaamini Yupo,
Babu zetu kabla ya hizi dini walisha kua wanaamini Yupo,

wa hindu na dini zote ulizotaja wanaamini Yupo ?

dini ni njia tu au imani ya kumfikia Mungu

njia ni nyingi zote zinalenga Kitu kimoja

umetaja dini nyingi Je, hizo na nyingine ambazo hujataja ni dini gani ambayo inaamini Mungu hayupo ?

Kama zote zinaamini Yupo, nani aliwaambia ?
hata kama ukizaliwa unafundishwa, si ndo namna ya kumjua au wewe ulitaka namna ambayo umeiwaza wewe ?
 
Hilo halithibitishi uwepo wa Mungu, zinabaki kuwa Imani tu. Lakini je kweli uyo Mungu yupo? Jibu ni hapana hayupo na hajawah kuwepo.
 
E=mc^2
 
Mungu unayemuongelea ww haabudiwi kwny dini karibia 4000 . Mfano dini ya Buddhism haamini mambo yoyote Yale ya kiroho sijui uchawi uganga MUNGU shetani
 
Mimi nina swali kwa hawa wapinga Mungu, hivi mnawezaje kuyaamini maneno ya wazungu yalioandikwa kwa kizungu na hao hao wazungu na white race zingine ila mkaja kupinga maneno mengine walioandika haohao wazungu na white race nyingine?

Yani unaiamini science ilioandikwa na wazungu ila unaikataa bible ilioandikwa na haohao unasema walitunga, kama walitunga bible wanashindwaje kutunga science ambayo wewe umemezeshwa na kuiamini
 
Aliyekwambia sayansi ina aminiwa ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…