Mkuu kila kitu kinaambatana na imani hata hizo dawa wanazogundua ni mpaka watu waziamini ndio wazitumieAliyekwambia sayansi ina aminiwa ni nani?
hawawezi kuthibitisha kwamba hayupo,Mkuu kila kitu kinaambatana na imani hata hizo dawa wanazogundua ni mpaka watu waziamini ndio wazitumie
Wewe umekaririshwa kingereza kwaiyo unaamini ukiongea kingereza na maneno ya kizungu ambayo yameandikwa kwenye vitabu vya chemistry, physics na biology na wazungu ndiyo upo sahihi kuliko mwingine
Aliyekwambia kigezo cha dawa kutumika ni mpaka watu waziamini ni nani?Mkuu kila kitu kinaambatana na imani hata hizo dawa wanazogundua ni mpaka watu waziamini ndio wazitumie
Hayo maneno yaliyopo kwenye vitabu vya chemistry na physics kwani ni ya uongo?Wewe umekaririshwa kingereza kwaiyo unaamini ukiongea kingereza na maneno ya kizungu ambayo yameandikwa kwenye vitabu vya chemistry, physics na biology na wazungu ndiyo upo sahihi kuliko mwingine
Wewe umeweza kuthibitisha Mungu huyo yupo?hawawezi kuthibitisha kwamba hayupo,
wanarudia poin zile zile, kua huwezi kumuona, kumgusa... kwaiyo hayupo
Wamekaririshwa maneno ya kizungu wanajifanya kujua kila kitu kwa sababu wamesoma elimu ya kukariri biology na physicshawawezi kuthibitisha kwamba hayupo,
wanarudia poin zile zile, kua huwezi kumuona, kumgusa... kwaiyo hayupo
Alieandika physics ni nani na alieandika bible ni nani?Aliyekwambia kigezo cha dawa kutumika ni mpaka watu waziamini ni nani?
Dawa hazitumiki kwa imani, dawa zinatumika kwa kuthibitishika kwa tafiti zenye uhakika na uthibitisho kwamba zinaponya na kutibu ugonjwa fulani.
Hayo maneno yaliyopo kwenye vitabu vya chemistry na physics kwani ni ya uongo?
Bila Physics unadhani maswala ya umeme yangevumbuliwa vipi?
Au physics inapo ongelea maswala kama ya umeme ina danganya sio?
Aliyekwambia sayansi ina aminiwa ni nani?Wamekaririshwa maneno ya kizungu wanajifanya kujua kila kitu kwa sababu wamesoma elimu ya kukariri biology na physics
Sasa anaeamini science atakataaje theology na zote ni za wazungu
Physics ni nini?Alieandika physics ni nani na alieandika bible ni nani?
Jibu swali ndio uulizePhysics ni nini?
Bible ni nini?
Science inazungumza kuhusu "Akili"Aliyekwambia sayansi ina aminiwa ni nani?
Jibu swali ndio uulize.
Akili ni nini?Science inazungumza kuhusu "Akili"
Umewahi kuiona kwenye mwili wa binadamu au "unaamini" tu kuwa ipo ?
Huu ndio ujinga mlionao ili kukwepa.Akili ni nini?
Imani inajengwa kwa misingi mitatuAliyekwambia sayansi ina aminiwa ni nani?
Unao ongea vitu visivyo na mantiki kabisa.
Akili haipo kwenye mwili binadamu.Huu ndio ujinga mlionao ili kukwepa.
JIBU swali kwanza acha kukwepa kwepa
nimeshatoa hoja nyingi za kuthibitisha, hazijajibiwa ila zinapingwa kwa maswali yaleyale, na ambayo hayajibu hoja.Wewe umeweza kuthibitisha Mungu huyo yupo?
Unataka uthibitisho wa Mungu hayupo ilhali wewe mwenyewe huwezi na umeshindwa kuthibitisha Mungu huyo yupo!
Huoni kwamba Mungu huyo hayupo?
Haya kama misingi ya imani ni kuona, kusikia na kutenda.Imani inajengwa kwa misingi mitatu
Kuona
Kusikia
Kutenda
Akili haipo kwenye mwili binadamu.
Akili ni neno la kufikirika tu.
Lakini ni wewe uliyesema sayansi haina mambo ya kuamini,Akili haipo kwenye mwili binadamu.
Akili ni neno la kufikirika tu.
basi thibitisha kwa kutumia physics kwanini dunia inazunguka jua na haisimami na speed yake ni almost the same kwa mamilioni ya miaka ?Haya kama misingi ya imani ni kuona, kusikia na kutenda.
Mungu huyo ulimuona wapi?
Mungu huyo ulimsikia wapi?
Na unathibitishaje Mungu huyo yupo?
Sasa utasemaje sayansi haiaminiwiHaya kama misingi ya imani ni kuona, kusikia na kutenda.
Mungu huyo ulimuona wapi?
Mungu huyo ulimsikia wapi?
Na unathibitishaje Mungu huyo yupo?