Sisa Og
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 201
- 504
Kila kitu kina limit. Kuanzia dini, akili, imani hata sayansi. Limiti ni kikomo cha kuchakata ili upate majibu au matokeo.
Limit ya binadamu iko pote kwa anayeamini Mungu au hasiye amini. Maana wote hawana majibu ya kutetea ushahidi wao.
Binandamu mwenye akili ambayo ni active lazima ajaji uwepo wa Mungu. Na. hata sidhani kama Mungu anaweza jaji hilo, kama kweli yupo Binafsi, naamini ulimwengu ni siri kubwa ambayo hatujui ndo maana tunavurugwa na tamaduni za watu (dini). Yote haya ni kutaka kuhakikisha tutakuwa salama