Nimeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu! Nitathubutuje kujilinganisha na siafu?Kwa hiyo wewe unaji linganisha na Siafu?
Una uhakika kabisa yupo 🤔 kvipi ulimshuhudia Kwa macho ama🤔 ulitumia angalau mlango mmoja wa faham kuthibitisha hlo? Macho? Maskio? Pua? Ngozi ama mdomonina uhakika kabisa yupo, wanaosema hayupo kunavitu hawavielewi au wamefungwa akili au wamekaza kichwa
kuna uzi nilikutana nao humu muda fulani umeandikwa
"Atheist wana mtindio wa ubongo"
labda ni kweli, kwasababu kuna namna ata ukijaribi kuwaelezea hawaelewi,
kuna kitu nataka wakipate nawapa ma mfano rahisi ila hamna kitu wanaelewa yaani
ila nikawaza huenda wameelewa ila hawataki kukubalihapa kswala la kisaikolojia) kwasababu wameshakua kwenye upande huo kwa muda
Akili yako iliwezaje kufikiri Mungu yupo?hicho ulicho kisema ndo nilichoongelea kwamba akili ina limit na huwezi fikiri nje ya hapo maana akili inajiona imefikiri hadi mwisho
Sasa hii conclusion ya " cylce zitajirudia to infinity" inathibitisha vipi kwamba Mungu yupo?kuna namna nyingine sisi tunaweza kufikiri kitu na ku tatua au kubuni njia fulani,
ila ukimwambia nyani, hawezi hata umuue, hawezi kwasababu kuna sehemu ufikiri wake unaishia
kwaiyo hata hapo ulipoona kwamba cycle zitajirudia to infinity ndo conclusion inayokuja kwenye akili ya kibinadamu kutokana na level ya ufikiri.
😂😂 Mbona matusi Tena, afu atheist ni wastaarabu sana wanatoa point vzuri kutetea hoja . Lakin theist ni wazee wa mikwara vitisho ,hofu na matusiNimeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu! Nitathubutuje kujilinganisha na siafu?
Nikiukuta mjadala wa siafu wakibishania juu ya uwepo wa Mungu, labda siafu wa kwanza anasemaje "kuna viumbe vikubwa viitwavyo ninadaiwa", halafu siafu wa pili anamwambia athibitishe kuwa kuna binadamu, nitaishia tu kusema kuwa siafu wa kwanza ana akili!
Ndivyo Mungu atuonavyo pia! Wote wenye akili wanakiri kuwa kuna Mungu, na wanaopinga kuwa kuna Mungu ni "wapumbavu".
haithibitishi yupo ila inathibitisha ufikiri unapo ishia, ndo maana utawaza to infinity unarudi kwenye cycle hiyohiyoAkili yako iliwezaje kufikiri Mungu yupo?
Hii dhana ya Mungu ilitokana na nini?
Sasa hii conclusion ya " cylce zitajirudia to infinity" inathibitisha vipi kwamba Mungu yupo?
Kwani imani ni nini?Sayansi ina thibitishika na kufahamika kwa uthibitisho sio kwa imani.
Unathibitishaje kwamba uliumbwa kwa sura na mfano wa Mungu?Nimeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu! Nitathubutuje kujilinganisha na siafu?
Mifano yako wala haina mantiki yeyote.Nikiukuta mjadala wa siafu wakibishania juu ya uwepo wa Mungu, labda siafu wa kwanza anasemaje "kuna viumbe vikubwa viitwavyo ninadaiwa", halafu siafu wa pili anamwambia athibitishe kuwa kuna binadamu, nitaishia tu kusema kuwa siafu wa kwanza ana akili!
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wote tukamwamini na kumjua yupo?Ndivyo Mungu atuonavyo pia! Wote wenye akili wanakiri kuwa kuna Mungu, na wanaopinga kuwa kuna Mungu ni "wapumbavu"
Imani ni kutokuwa na uhakika wa kitu fulani.Kwani imani ni nini?
Ufikiri unaishiaje?haithibitishi yupo ila inathibitisha ufikiri unapo ishia, ndo maana utawaza to infinity unarudi kwenye cycle hiyohiyo
Kweli kabisa basi itàkua MUNGU aliumba watakaomuamini na wasiomuamini🤔Unathibitishaje kwamba uliumbwa kwa sura na mfano wa Mungu?
Kama uliumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, Leta hiyo sura ya Mungu tuione hapa?
Mifano yako wala haina mantiki yeyote.
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wote tukamwamini na kumjua yupo?
Si mnadai Mungu huyo ni Mungu muweza wa vyote?
Kama binadamu wasio mwamini Mungu ni wapumbavu na Mungu huyohuyo ndiye muumbaji wetu, Pia huyo Mungu ni MPUMBAVU kwa kuumba binadamu wapumbavu ambao wameshindwa kumwamini.
Hapana misingi ya imani ni kuona, kusikia, kuhisi na kutenda na wala sio kuwa na uhakikaMsingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.
Sayansi haiaminiwi bali inafahamika na kujulikana kwa uthibitisho.
Hapana misingi ya imani ni kuona, kusikia, kuhisi na kutenda na wala sio kuwa na uhakika
Sasa utakiamini vipi kitu usichokuwa na uhakika nacho hiyo ndio huitwa imani potofu
Nakuamini wewe kuwa ni mtu hai kwa kuona text zako, pia naamini kuna viongozi wapo humu jf kwakuwa wanaban wachanhiaji hasa wakileta matusi na lugha mbovu
Neno IMAN linathibitishwa kwa kuona, kusikia na kutend
Mbona unajfunga sasa , we umemuona au kusikia sauti ya MUNGU 🤔( usinambie uliisikia ndotoni au ktk maombi)Hapana misingi ya imani ni kuona, kusikia, kuhisi na kutenda na wala sio kuwa na uhakika
Sasa utakiamini vipi kitu usichokuwa na uhakika nacho hiyo ndio huitwa imani potofu
Nakuamini wewe kuwa ni mtu hai kwa kuona text zako, pia naamini kuna viongozi wapo humu jf kwakuwa wanaban wachanhiaji hasa wakileta matusi na lugha mbovu
Neno IMAN linathibitishwa kwa kuona, kusikia na kutenda
Sasa muonyeshe huyo Mungu tumjue?Hapana misingi ya imani ni kuona, kusikia, kuhisi na kutenda na wala sio kuwa na uhakika
Sasa thibitisha uwepo wa Mungu huyo kwa uhakika na kwa imani yako isiyo potofu.Sasa utakiamini vipi kitu usichokuwa na uhakika nacho hiyo ndio huitwa imani potofu
Sasa na wewe thibitisha huyo Mungu ni kitu hai na si mawazo yako ya kufikirika tu.Nakuamini wewe kuwa ni mtu hai kwa kuona text zako, pia naamini kuna viongozi wapo humu jf kwakuwa wanaban wachanhiaji hasa wakileta matusi na lugha mbovu
Muonyeshe huyo Mungu hapa sasa.Neno IMAN linathibitishwa kwa kuona, kusikia na kutenda
Kabla sijaenda kuonesha ni kwa nini naamini Mungu yupo ushaelewa maana ya neno IMAN na misingi ya imani?Sasa muonyeshe huyo Mungu tumjue?
Msingi wa imani si kuona, Eleza na muonyeshe huyo Mungu hapa?
Sasa thibitisha uwepo wa Mungu huyo kwa uhakika na kwa imani yako isiyo potofu.
Sasa na wewe thibitisha huyo Mungu ni kitu hai na si mawazo yako ya kufikirika tu.
Muonyeshe huyo Mungu hapa sasa.
Si tayari ushamuona na kumsikia.
kama ambavyo mnyama kuna vitu hawezi kufikiria ila wewe unaweza, nawe pia una limit vilevileUfikiri unaishiaje?
Kwaiyo neno la dhahania halina uhalisia? Neno njaa halina uhalisia kuwa njaa ipo kweli au haipo?Shida yangu ni ninyi waamini huyo Mungu kudai kwamba huyo Mungu ni nguvu halisi badala ya kukiri kwamba Mungu huyo ni mawazo yenu tu yasiyo na uhalisia wowote ule.