mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mi nawaona tuNakuangalia tu mzee wa liver...
Marc Overmars ,Daah! Umenikumbusha huyu msweden LJumberg,
Ilikuwa zamani hiyo mkuu. Siku hizi wote mnafanya kazi na kila mtu na wajibu wake. Na mambo nadhani yanabadilika.Hahahahaaaa nimeshakusamehe.Lakini kwa uelewa wangu suala la utunzaji familia halihusiani na utamaduni ila sisi wanaume tukioa tunawachukulia wake zetu kama ni watumishi wetu wa kila jambo na kazi yetu kubwa ni kutafuta chakula cha mchana na usiku basi hatuna habari ya kushughulikia kazi za ndani na kuhudumikia watoto
Barcelona ilichukua ubingwa Wa ulaya mwaka huu ilikuwa hatari sana koeman alipoliga goli moja fainali na la ubingwaAnakumbukwa kwa kutengeneza the dream team 1992 kina gadiola na Ronald koeman ndani
Unacheka nini!!!?????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ww ni noma unanipa kujiamini kila nionapo post yakoThe one and only
AMUN RA2:33
AMUN RA
Ujue nipo lknHauna siri babe S,hayo ni mimi na wewe tu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
AMUN RAAMUN RA