Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1...Kutoa sugu ..... . . Kutoa sugu vidoleni mikononi na miguuni na viwiko vya mkono...chukua jani la malovera lile fresh likate litatoa maji maji yale maji paka eneo husika kisa massage km dk 10 hivi baada ya hapo iache km dk 30....then baadae osha..... . Pia maji ya mualovera unaweza kuchanganya na mafuta ya mlozi(almond oil)ukapaka km nilivyoeleza . . UKIPAKA HII USIKAE JUANI UNAWEZA BABUKA NGOZI
 
 
Aisee bro hili neno bora kabisa na limetoka kwa Mwenye Enzi Mkuu
 
3...kutoa sugu... . Chukua machungwa ya kutosha menya...yale maganda yakaushe hata siku 3 juani mradi yakauke sanaaa yakikauka yatwange........ na yachuje na chujio la unga ila upate unga laini chota kiasi changanya na mtindi usio na radha yyte (plain youghurt) mpk uchanganyike vzr....paka eneo husika acha dk 20 kisha massage acha tena 10 ....acha tena dk 5 afu osha na maji ya vugu vugu..... Hizi njia matokeo utaona kuanzia week 3 km utafanya mfululizo.....njia zipo nyingi mno kwa leo zimetosha!
 
 
Part 1 . Kuondokana na lips nyeusi iwe kwa kuvuta sigara ugonjwa au vyovyote unahitaji... Mafuta ya oliver oil Sukari Asali . . Changanya asali na mafuta ya olive oil mpk yamechanganyika alafu tia sukari koroga sana mpk mkorogo uwe mzito sana km ni mlaini ongeza sukari...
 
Chukua beseni weka maji kipimo ukiweka miguu nyayo zinazama....tia sabuni ya maji au shampoo maalumu ya miguu...loweka miguu yako dk kadhaa....theni chukua dodoki au jiwe la miguu jisugue....baada ya kujisugua jikaushe miguu vizurri alafu chukua mafuta yyte ya kula au olive oil paka miguuni alafu vaa soksi (zisiwe nyeusi)then lala...fanya hivi week 2 tu miguu soft no gagaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…