Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2...njia ingine chukua tui la nazi kiduchuu lile zito sana km huna tui chukua kitunguu saga upate juice yake chovya pamba ktk kitunguu/tui paka ktk nyusi zako usiku hapo ni baada ya kuoga...ukishapaka acha ikauke afu lala nayo asbh osha afu pitisha ule mswaki
 
Je una vinyusi vichache kiasi kwamba unashindwa kuchonga nyusi kwa style upendayo?au hata ukipaka wanja wa lulu hupendezi?....basi kama unataka kuwa na nyusi nene na nyeusiii...step ya kwanza jenga tabia ya kupitisha mswaki kwenye chusi km vile unazipanga nyusi na kusugua uchafu...nyusi hugoma kuota kwa wingi kutokana na kuzuiwa na dead cells zilizopo ktk ngozi ya pembeni mwa nyusi zitokanazo na lotions,mafuta,makeups,jasho n.k sasa ww unapojisafisha daily na mswaki laini unatoa zile dead cells na nyusi mpya zinaanza kutokea juu na chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…