Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
That's sweet of you walahi!Thanks again my princess
Nina ma princess watatu humu
Carba
Numbisa
And missing princess cocochanel
Bro Pitia ukurasa wa nyumaAyayayayayaaaaaa !!!
Kusema kweli itabidi niseme tu. Nina mashemeji matapeli. Moudgulf naye juzi juzi hapa alizusha eti kanipa ng'ombe. Nilipomkaba hakuwa na jibu la maana. Leo Mzee wa Tukuyu naye anaibuka eti kanipa ng'ombe wengine 15. Kanipea wapi hao ng'ombe wakati nina karibu mwaka hata kuonana naye hakuna? Hii kazi kweli kweli aisee!Hapana wacha nimuulize shimba ya kama ng'ombe zimefika
Nimeielewa sana hiiOhhh that is so sweet!
Mimi hata sijui kinacho endelea kwa upande wake!
Usijali my love!
Huwa siweki kitu rohoni! Bali ni wewe tu!
Itabidi twende Zanzibar nikakupumzishe kidogo!
Si unajua, kina dada kama sisi huwa tuko together!
Mipesa kwa wingi!
Yakurithi na mengine neyo!
Yaani itabidi nikakutulize my soulmate wangu jamani!
Acha mbwembwe shemeji. Hao ng'ombe 15 wa nyongeza utawatoa tu. Ni ng'ombe wa masamva na bila kuwatoa hutakuwa na amani!Hasira haina nafasi kwa sasa,muhimu nimesha mpa kakaako ng'ombe 15 nilio kuwa nadaiwa.Kuanzia sasa ni full kujiachia,yaani nikufyatua kwa kwenda mbereee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahaView attachment 554191
Hivi watu wa nafikiriaga nn daaah
Robert nesta Marley aka Bob Marley
Mzee wa Masaki hapa sasa mpaka gego la mwisho kama vile nakuona. Umehit the jackpot Ng'wanawane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohhh that is so sweet!
Mimi hata sijui kinacho endelea kwa upande wake!
Usijali my love!
Huwa siweki kitu rohoni! Bali ni wewe tu!
Itabidi twende Zanzibar nikakupumzishe kidogo!
Si unajua, kina dada kama sisi huwa tuko together!
Mipesa kwa wingi!
Yakurithi na mengine neyo!
Yaani itabidi nikakutulize my soulmate wangu jamani!